Recent content by TZLEO

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaonunua malaya wa Telegram mna moyo

    Aisee nilibahatika kupata mtoto mkali pale Riverside hata sikuamini,chombo kama ya kitusi ila yenyewe ilikuwa shombeshombe..kibaya zaidi sikuifaidi shida ni ileile haitaki upige mda mrefu ...kingine mnapangiana muda.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Simba, wekezeni kisoka michezo ya CAF. Huku NBC tuhonge pesa tu kama wengine

    Ushauri wangu Timu zicheze mpira tu ...ukicheza mpira mzur na watu wakaona cjui kama haya maneno yote yatakuja.Mm ni miongoni mwa washabiki wa mpira haswa juzi tu tuliona goli la simba na mbeya city John aliingilia mchezo lakini refa kwa vile hakuona vizur akaweka kati ,haya ni mambo tu...
  3. T

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Uingereza ndiye bingwa Kombe la Dunia, 2022

    Mataifa matatu nayapigia utapu Spain Brazil England
  4. T

    JamiiForums Tanzania Dar kama kuna Baridi hivi huko mikoani vipi, tupeane updates

    Baridi ya Dar ...mikoani ni joto
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1940622/
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Pole sana ...mimi ilishawahi kunipata 2017 ninachokumbuka yangu ilikuwa tofauti kidogo hunikuta ninakaa na njaa muda mrefu hasa mwezi wa Ramadhan katikati...nilishauliwa nile vyakula vya nafaka hasa visivyokobolewa. Kule usukumani wanaita Mang'ondi wana dawa yao hivi...ni majani ya mti flani...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Simu inachaji kwa kufupi umeme unapita ila data file hazisomi ...flash imegoma kusoma...mouse imegoma Yametokea matatizo manne kwa wakati mmoja Usb port Bluetooth Wireless Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Naomba msaada usb port za hp pavilion hazi_respond Nimejarbu ku_update window bado
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nina soko Uingereza la maharage haya natafuta patner mwenye mtaji

    Aisee nimecheka sana
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nina soko Uingereza la maharage haya natafuta patner mwenye mtaji

    Kama sijakosea ni Rosecoco yanatumika sana kwenye kambi za wakimbizi
  11. T

    JamiiForums Tanzania Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato imeingiza kiasi gani?

    Ni hatar sana...kila kilichofanywa na Mwendazake sasa kinamomonyoka
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua kiwanja, ila kwanini viwanja vya Chanika ni bei rahisi hivyo?

    Nenda mikoani utapata kwa bei hiyo
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yeah nafahamu ,ila baada ya kupoteza sana ndio maana nimeomba mwenye mkeka wenye uelekeo nitupie ten kwa odds hizo 15 nipate mtaji leo maana mhindi amenigalagaza sana
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba odds 15 za uhakika nina buku ten hapa nataka nitupie
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiamua kuwa na mahusiano na mume/mke wa mtu lazima ukubali kuwa mtumwa

    Mwanaume wa shoka
Back
Top Bottom