Recent content by TZ255

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere! Or Am, I Wrong!?

    Big issues to come.....let him finish......
  2. T

    JamiiForums Tanzania ''Siasa si Hasa''

    Unawabipu ukawa aka ukuta?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nikiri wazi: Namfahamu shetani

    Leo umeweka sawa....umeshirikiana na shetani muda mrefu lakini hujaona manufaa na umetuonya..''shetani ni shetani tuu hata awe na sura nzuri ya kuvutia kama malaika hata akupe kila kitu..sio mwema kwako na daima anania maovu''. Haya ni maneno yako mshana jr Nikubali kuwa wengi tumemfahamu na...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Biblia imeandikwa kwa lugha ngumu?

    Wasomaji wa Biblia huelewa Biblia wanapoisoma kwa uongozi wa roho mtakatifu....kwa jicho la kutafutatafuta wengi hutoka 'kapa'-hawaelewi. Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana. Wasomi na wanafalsafa waliposhindwa kuipinga Biblia wakaamua kusema Mungu...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini tusifanye harambee ya kumchangia Mwenyekiti Mbowe?

    UKUTA ulibeba mengi.....mnamsaidia kuandamana kumbe ana lake jambo!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hii safari ya kuhamia makao makuu ya Tanzania inazidi kuwa ngumu

    Hii safari ya kuhamia makao makuu ya Tanzania inazidi kuwa ngumu. Ilikuwa Septemba 1 sasa mara Octoba wengine Desemba na hata mwaka 2020. Changamoto imekuwa ni maswala ya sheria pamoja na gharama za kuhama. Bajeti ya kuhama haikuwapo lakini pia haihami serikali kwa matamko-kwahiyo sheria ndiyo...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Eti uchochezi, uchochezi gani?

    Comment kama hizi huwa nachekaaa....ukiwa karibu jamaa anaweza kukutishia kitu cha ncha kali
  8. T

    JamiiForums Tanzania Septemba 1, 2016 Makonda asema JWTZ watafanya majaribio mbalimbali ikiwemo kurusha ndege angani

    Nawahurumia wanaodai kuandamana...Ukuta....
  9. T

    JamiiForums Tanzania Yametimia, ndege ya ATCL, Dash8-Q400 angani

    Hatua....
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kikwete kweli alikuwa wa Kimataifa: Umuhimu wa Lugha ya Kiingereza

    Je, Maendeleo tuliyapata?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nilimwambia Mkuu wa Mkoa aliyetenguliwa Felix Ntibenda kwamba anatafutwa yeye

    Lema unakosea sana kumuita Bwaba Mdogo...hata kama umri wake mdogo
  12. T

    JamiiForums Tanzania DC Mrisho Gambo wa Arusha amhujumu mkuu wa mkoa

    Imekuwa?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Maswali ya Mwanangu kwa Mama yake yamenishtua!

    Asante, hayo ndiyo maswali ya watoto. Kwa kawaida mtoto chini ya miaka 5 asilimia kubwa ya fikra na matendo yake huwa ya kweli (siyo ya kujifanya/singizia). Ujue hapo swali lilikuwa kama mama anampenda baba yake? full stop na hakuna chembe ya mzunguko. Mwamini mwanao. Lakini atakapozidi miak 5...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hali ya mgonjwa wetu si shwari

    Wewe mwananzengo?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa siri unaodhaniwa ni wa Freeman Mbowe wasambaa mitandaoni

    Rungu mtazioga mwaka huu
Back
Top Bottom