Recent content by Tz-guy

  1. Tz-guy

    Kama unataka kujenga Fensi/Uzio pitia hapa tujuzane

    Mkuu, kiwanja ni Sqm 875. Kipo Madale, DSM.
  2. Tz-guy

    Series (Special thread)

    Mkuu kuna series inaitwa 'Designated Survivor', ni nzuri sana. Jaribu kuifuatilia, sasa hivi ipo S01E09.
  3. Tz-guy

    Maelezo ya kina juu ya umuhimu wa serikali mbili

    Wakuu habari za kazi? Kutokana na Chama cha Mapinduzi kutumia nguvu kubwa ya kutaka uwepo wa Serikali mbili, huenda kuna jambo zuri la Kitaifa ambalo mimi na baadhi ya Watanzania wengine hatulifahamu. Hivyo basi; kama kama kuna mtu anaweza kutoa maelezo ya kina juu ya umuhimu wa Serikali...
  4. Tz-guy

    Boko haram

    Mkuu inaonekana hujafuatilia kwa karibu mgogoro wa Central Africa.
  5. Tz-guy

    Mvuto kwa mwanamke ni kweli?

    Mimi ngoja nifunguke zaidi, pamoja na mambo mengi ambayo wadau wameyaongea pia mvuto unaweza kuja bila hata ya kumuona muhusika. Yani hata kwa kusikia jinsi anavyoongea unaweza vutiwa mpaka ukapata hamasa ya kufanya matusi! Mfano hapa JF kuna mdada mmoja ananikosha kwa jinsi anavyochangia, ngoja...
  6. Tz-guy

    Misemo ya Mpoki jamani!

    Mwanamke hasingiziwi mimba!
  7. Tz-guy

    Waliotumwa kumuua Dr. Ulimboka wapata PIGO Afrika Kusini

    Mods embu ondoeni hili povu, huu ni uzandiki kabisa! Watu kama hawa tukiwaacha watatusababishia matatizo katika nchi!
  8. Tz-guy

    Mme analalamika.............

    Kiukweli umenikwaza mkuu!
  9. Tz-guy

    Mbinu chafu za serikali kuficha ukweli juu ya Dr. Ulimboka

    Hii habari imepikwa!
  10. Tz-guy

    Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

    Nakushauri olewa na dume ambalo halina nguvu za kiume. Ila baada ya ukame wa muda mrefu naamini utatutafuta marijali.
  11. Tz-guy

    Dawa ya unyumba

    Mkuu embu funguka vizuri upande wa vipimo maana wengine tunawajibika kutwa mara tatu!
  12. Tz-guy

    Dada huyoooo ..... ishatolewa!! tupia maneno kwenye hii picha

    Naomba tuonane badae...
  13. Tz-guy

    Ananipenda, ninampenda...ila kuna mambo tunatofautiana....ushauri tafadhali.

    Aisee umenihuzunisha sana, hivi unadhani huyo msichana atakusubiri miaka yote hiyo. Embu funguka..!
Back
Top Bottom