Maelezo ya kina juu ya umuhimu wa serikali mbili

Tz-guy

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
436
88
Wakuu habari za kazi?
Kutokana na Chama cha Mapinduzi kutumia nguvu kubwa ya kutaka uwepo wa Serikali mbili, huenda kuna jambo zuri la Kitaifa ambalo mimi na baadhi ya Watanzania wengine hatulifahamu.

Hivyo basi; kama kama kuna mtu anaweza kutoa maelezo ya kina juu ya umuhimu wa Serikali mbili ni vizuri akatuelewesha.

ANGALIZO:
Facts katika maelezo husika ni muhimu ikizingatiwa kuwa Mh. Jaji Warioba katoa somo lililoenda shule kuhusu Serikali tatu.
 
Toka jana nachungulia majukwaa mbalimbali kuangalia kama kuna mtu atatetea serikali mbili hata kwa hoja moja tu yenye mashiko, too bad nakutana na mipasho na blah blah tu. Nadhani hakuna hoja ya kumjibu Warioba tusubiri mipasho Ijumaa.
 
Back
Top Bottom