Recent content by Tyrex

  1. Tyrex

    JamiiForums Tanzania Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

    Kwani simu kua nyingi ni shida gani c heri uwe na kitu kilichobora
  2. Tyrex

    JamiiForums Tanzania Wafanyausafi wawili wa treni ya SGR wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za wizi wa simu

    Ila sisi wa Tz imani hatuna kabsa yani watu wamegeuka kua na roho mbaya sana hata ukidondosha simu tu ndo bye bye
  3. Tyrex

    JamiiForums Tanzania Ni michezo gani ya hatari uliwahi kufanya ili utoboe kimaisha?

    Mkuu sasa ulikua na hadi 40m ulishindwa kweli kuhonga hadi upate vibali kweli
  4. Tyrex

    JamiiForums Tanzania Pombe feki zinalipa sana. Walevi jiandaeni na DIALYSIS!

    Bora wew mkuu huku liquid unamkuta mdada anakwambia me sinywi local beers 🙃🙃🙃🙃🙃
  5. Tyrex

    JamiiForums Tanzania Zamani raha hiace Tsh. 3800

    Hio namba ya usajili
  6. Tyrex

    JamiiForums Tanzania Pasi kuungua kwa kuyeyuka, tatizo ni nini?

    Pasi ni philips tuu hizo zngne makopo
  7. Tyrex

    JamiiForums Tanzania hadi maandishi kwenye duka/frem now unayalipia???

    Yani ukianzisha duka kazi kweli kweli ulipie Kodi, umeme, maji, takataka, TRA Ile ya mwaka, uwe unatoa VAT, ULINZI kama kwenye frem hizo yupo unalipa na bdo ya mtaa unalipa tena, parking, bdo manisoaa na kodi zao siku atakuja polisi nao watataka chao ya soda 😄 🤣 😆 😂 yani hatari kweli kweli...
  8. Tyrex

    JamiiForums Tanzania Natafakari kwa kina sana,huyu ni mzulu akiwa ametwaa duka moja kwenye ukanda wa maduka!

    Mpaka mwezi wa 9 si atakua kashafunga na duka lenyew
  9. Tyrex

    JamiiForums Tanzania Shule inauzwa bei ni billion tisa(9), ipo Kitunda -DSM

    9bilions nakula kdg kdg hadi kufa kwangu no stress 😆 😁😁😁😁😁😁
  10. Tyrex

    JamiiForums Tanzania Kozi za Afya zote ziwe na mafunzo ya kijeshi

    Kwahiyo wew unataka kua askari sio
  11. Tyrex

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka za Elimu Kigamboni zinaombwa kuchunguza shule hii na kuchukua hatua

    Kama ushahidi upo clear kwann usiuanike hapa ili iwe rahisi pa kuanzia
  12. Tyrex

    JamiiForums Tanzania Mwenezi wa CCM aliwachapa walimu viboko Kwa sheria ipi aliyoitumia ?

    Binafsi nilifurahi adhabu waliopewa, tena hapo walionewa huruma ilitakiwa wakamatwe wafikishwe mahakamani
  13. Tyrex

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mmasai anayeshutumiwa kumuua Mchina inavutia kimedani. Nipo interested nayo kuona kile jeshi letu litafanikiwa na kwa muda gani

    Mkuu mtu anayekata mawasiliano na watu wote wa karibu anaweza asikamatwe milele upelelezi mwngi wa hapa wanatumia mawasiliano ya mtu so kama hatumii simu kwake hayupo hawasiliani na watu wa karibu marafiki ndugu n.k na kahama sehem aliozoeleka kumpata ni shida sana
  14. Tyrex

    JamiiForums Tanzania DAWASA yazidi kutekeleza agizo la kuboresha huduma kupitia visima Kisukuru

    Sisi kinyerezi tushasahau kama maji yaliwahi kutoka miezi 3 sasa
  15. Tyrex

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya raia wa China yanaendelea kuharibu taswira ya nchi yetu

    Uyo mchina ubahili tu umempelekea umauti masikini sasa una miliki kampuni na pesa nyingi badala uajiri walinzi wakueleweka unaweka masai wakuwalipa 70k kwa mwezi si ujinga huo
Back
Top Bottom