Recent content by twinzo

  1. T

    Msimamo wa wahisani juu ya Zanzibar leo

    Hahaha!!! Maendeleo! Yapi hayo?
  2. T

    Makombora ya Iran yanafika kila kona Israel

    Acha uongo wako, kipindi kile Urusi na China zilikuwa zina isaidia kienteligensia, silala n.k Iraq vinginevyo hata nchi moja tu kati ya ulizoelezea zingemaliza.
  3. T

    Katibu Mkuu Kiongozi ni cheo kilicho juu ya fikra za udini

    Hebu tupe vithibitisho hivyo!
  4. T

    Katibu Mkuu Kiongozi ni cheo kilicho juu ya fikra za udini

    Nakuunga mkono Mkuu, mtu mwenye akili na mwenye uwezo mzuri wa kufikiri na kuchambua mambo hawezi kufikiri kidini. Eti nimpendelee kwa sababu ni mkristo au mwislam tukifikia hapo basi amani yetu itakuwa hatarini.
  5. T

    TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

    Labda wewe ndo popcorn kwa sababu badala ya kuchangia mada unaanza kuuliza mambo yasio husiana na mada
  6. T

    TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

    Haya mwambie amtaje basi ni nani?
  7. T

    TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

    Muulize alianza kupost akielezea ya kuwa sijui kuwa kuna kiongozi wanataka kumtangaza mtakatifu? Mimi pia sina uhakika hasa alikuwa anamzungumzia nani?
  8. T

    TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

    Kwanini azungumziwe kwani hapa tunajadili watakatifu?
  9. T

    TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

    Huyo mtu anahusiano gani na Tanesco na udini? Kama dini au thehebu alilokuwa akisali wakati akiwa hai wameona inafaa kumwita huyo mtakatifu inatuhusu nini mimi na wewe? Ya serikali apewe serikali na ya dini wapewe wadini.
  10. T

    TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

    Toka nizaliwe toka tumboni mwa mama yangu na kuwa mtu mzima sijawahi kumshambulia mtu au kumwazia vibaya kwa sababu ya dini au dhehebu lake, hata huyo Dau unaemzungumzia sijawahi kumzungumzia lolote. Hivi wewe Nyemanze hufikiri ni kwanini ALLAH hafikiri kuhusu uwepo wa watu wa dini fulani mahali...
  11. T

    TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

    1.Sina muda wa kipuuzi na kupoteza kutafuta takwimu za watu na dini zao kwani sina mpango wa kujenga msikiti au kanisa karibu na ofisi hizo. Eti walitumia kigezo cha dini kuajiri. Yaani kama nafasi imetangazwa hajaomba dini fulani niende barabarani nikambembeleze mtu wa dini Fulani. Umeona wapi...
  12. T

    TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

    Sijawahi kuwaza wala kulalamika kuwa NSSF imeajiri watu Fulani.
  13. T

    TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

    Ushasikia wapi duniani wanafanya hivyo kubalance watu kazini kuendana na dini zao? Mimi sioni sababu ya kumwajiri mtu kutokana na dini yake
  14. T

    TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

    Haisaidii hamna mtu Mwenye akili timamu atamwajiri mtu kwa sababu ya dini yake wakati taasisi sio ya kinidini.
  15. T

    TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

    Hakuna binadamu mwenye thamani kushinda mwingine. Awe muislam au mkristo wote wana dhamani sawa mbele za Mungu.
Back
Top Bottom