hiyo hospitali ndiyo yenye proffessional doctors wengi kuliko popote, ila kuna wakati huwa naona kama viini macho, yaani mambo ambayo hujayategemea kabisaaaaa, ndiyo yanatokea! pole Mtambuzi
oh my lord! Mpenda Yesu nisamehe kwa yote! ndio nauona huu uzi, happy birthday sweetheart! MUNGU mwema akuzidishie maisha yenye amani na furaha tele! happy birthday again!
mnyonge mnyongeni sifa yake mpeni, kibaki is a president and a half, kaibadilisha kenya kupita maelezo! muache kikwete ajikombe labda atapata hifadhi 2015!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.