Recent content by TWIKOMIGE

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    polepole ana fail anapojaribu kumuhusisha lowassa na mchakato wa ktiba mya. kumuhusisha lowassa na kumwaacha aliyevuruga mchakato hadharani ni upofu.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Msimamo binafsi: Mabadiliko (Yes) Lowasa (Big No)

    Uchaguzi wowote ule sharti uongozwe na 'doctrine' yake inayosadifu mazingiraa, zama na nyakati husika. bila shaka, hapa kwetu, "doctrine" inayopaswa kutuongoza katika uchaguzi huu ni " ondoa wakongwe weka wapya" tukiweza kujenga utamaduni huo hapa kwetu, ndipo tutakwenda kujenga mfumo thabiti...
  3. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA walishukia gazeti la Mtanzania, wasema wapo gado

    Spin doctors at work. nimekuwa mchangiaji wa mda mrefu sana kwenye magazeti ya rai na mtanzania, kwa kuandika makala mbalimbali. kilichopo pale "new habari" ni ufuasi na si weledi. mtanzania ni gazeti linaloongoza kwa makosa mengi, kuanzia uchapaji, uhakiki wa habari, usanifu wa kurasa nk. hii...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Mnyika kwa Zitto ya Ubunge Ubungo 2010

    Kwa hiyo zitto naye alisaidiwa na nani kupata ubunge, maana kikwete hakufanya kampeni kwenye jimbo lake la kigoma kaskazini mwaka 2010. Hivi kazi ya naibu katibu mkuu nini? Yaani zitto alitaka kutomsaidia mgombea wa chama chake ili msaidie nani?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Zitto awajibu CHADEMA juu ya fedha za ziara za ACT- Wazalendo mikoani

    Hoja hujibiwa kwa hoja. Zitto anapaswa kujibu hoja na si kuchpuka hoja. anadai ni chama cha uwazi kipi kinamfanya ashindwe kuweka wazi vyanzo ya mapato?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

    Hakuna kisichowezekana kwa zitto
  7. T

    JamiiForums Tanzania Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

    1.dr kessy (political science) 2.prof. Kezilahabi 3.prof.tambila 4.prof.ruanda 5.prof.senkoro 6.prof.kilian 7.prof.mkangara 8.prof. Kassim gululi (rip) etc
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tamko la mali na madeni ya Zitto Kabwe wa chama cha ACT Wazalendo

    Zitto kabwe........................ Mjamaaaa................................
  9. T

    JamiiForums Tanzania Watu 15 mbaroni kwa njama za Kutaka kumtorosha Mchungaji Gwajima

    Polisi...........................
  10. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yafutika Kigoma

    werema asipuuzwe
  11. T

    JamiiForums Tanzania Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"

    Wafuasi wa zitto bwana!!!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Alichokiongea Zitto Kabwe huko Mwandiga, Kigoma - Machi 15, 2015

    Sijaona jipya. Zitto akubali kuwa alifanya makosa. Hii ndio gharama zake.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Swali Rahisi kwa Zitto Kabwe

    Zitto.................................
  14. T

    JamiiForums Tanzania Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa

    Kukanusha ni silaha ya wasaliti
Back
Top Bottom