Minja Victor
Member
- Feb 26, 2015
- 36
- 6
A,G ni noma whats goes around comes surround!!
Hivi huko jimboni kwa Zitto kafanya jambo gani linalomfanya anyenyekewe sana?...naomba kujua jibu kwa waliofika Kigoma na waishio huko
werema kamaliza kabisaa
Baada ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kwa tiketi ya chadema zitto kabwe kuondoka ndani ya chama hicho sasa ni dhahiri shahiri kuwa chama hicho kimepotea rasmi ndani ya mkoa wa kigoma,
Hali hiyo inatokana na kundi kubwa la vijana waliokuwa wanakiunga mkono chama hicho kuamua kumwaga manyanga na kujiunga na chama cha ACT na baadhi kuamua kurudi CCM,huku wakisema wamechoka kuwatumikia wachaga,.
Aidha ni dhahiri kuwa jimbo la kigoma kaskazini sasa limeisha toka mikononi mwa chadema,iwapo mgombea anayetaka nafasi hiyo bwana yered fubusa atapitishwa na chama Hicho kupeperusha bendera ya chama katika uchaguzi mkuu ujao,
jimbo hilo la kigoma kaskazini limeonekana kukamiwa sana na chama cha mapinduzi,huku makada wake maarufu hamisi betese,robinson lembo,paschal mahwago,peter serukamba wakiliwinda kwa udi na uvumba huku nyota anga'avu ikionekana kumwangukia peter serukamba,
ACT ni mpango wa ALLAH!!!
Na hii ni dhahiri na thabiti kabisa adui mkubwa wa Zitto na ACT yake ni CCM hawatakuwa tayari kuona Zitto anachomoza tena na huu ndio mwisho wake.
Act haina mpango wa kugombana na chama chochote bana. Nyie cdm ndio mna chuki ya kike kuona chama kingine kipya kwani kwa ujinga wenu mnadhani nyie ndio wenye kura ya turufu ya kuwa wapinzani. Act ni wazalendo kama unatambua maana ya wazalendo na wewe unajiamini ni miongoni mwa wazalendo basi jiunge sasa usipoteze mudaHivi ACT vision yenu ni IPI? mission yenu nini?
Nyie Kama chama cha siasa malengo yenu makuu n yapi?
Kushindana na CCM? kushindana na CDM? au kushindana na vyote kwa pamoja??
Hivi ACT vision yenu ni IPI? mission yenu nini?
Nyie Kama chama cha siasa malengo yenu makuu n yapi?
Kushindana na CCM? kushindana na CDM? au kushindana na vyote kwa pamoja??
Hata shetani aliumbwa na ALLAH huyohuyo!ACT ni mpango wa ALLAH!!!
Act haina mpango wa kugombana na chama chochote bana. Nyie cdm ndio mna chuki ya kike kuona chama kingine kipya kwani kwa ujinga wenu mnadhani nyie ndio wenye kura ya turufu ya kuwa wapinzani. Act ni wazalendo kama unatambua maana ya wazalendo na wewe unajiamini ni miongoni mwa wazalendo basi jiunge sasa usipoteze muda
Hata shetani aliumbwa na ALLAH huyohuyo!