Swali Rahisi kwa Zitto Kabwe

Swali Rahisi kwa Zitto Kabwe

niliona hiyo post yake nikaishia kumkumdharau ila mwisho wa siku tumsamehe ni FRUSTRATIONS
 
Nenda ukajifunze maana ya rhetorics, na hasa ujifunze rhtorical questions. Kwa Kiswahili tunaita maswali ya namna hiyo 'balagha' na ni watu wenye uwezo wa kuyauliza maswali hayo wawezao kuyajua maswali hayo. Kama unafikiri mimi nina ushabiki wa vyama, unajidanganya. Nenda kwenye nyuzi zangu zote za huko nyuma utagundua kuwa mie nakosoa mwanasiasa yeyote. Nilishafanya hivyo kwa Slaa, Mnyika, Kikwete, Nchemba na wengine wengi. Tatizo mlio mashabiki wa vyama mmekumbwa na upofu wa kisiasa, hamwezi kuelewa mambo katika uhalisia wake.

Kwa hiyo maswali yaliyo katika mfumo wa balagha ndio hayo uliyouliza? Yani unauliza swali halafu unatoa jibu au maelezo yenye muelekeo wa majawabu ndo balagha hiyo sio.

Kimsingi ulikua huna swali bali ni umbea tu, halafu acha kujikweza na kujifanya unajua vitu, hilo neno balagha ni neno la kiarabu nafikiri hata kwa kiswahili hujui lina maana gani na linatumika wapi na vipi.

Njoo tena unipe maana ya balagha hapa kama hujui nikufundishe ili ujue namna ya kujenga maswali ya kibalagha yenye kuambatana na "heruf nnidah"
 
Kwa nini zitto kila kitu akifanya na watu anataka aoneshe kazi ile kafanya yeye peke yake kana kwamba wengine si lolote?
Ivi tujiulize zitto asipokuwepo PAC Ina maana kamati itashindwa kuwasilisha report kisa tu zitto hayupo?
Zitto acha ubinafsi

mpuuzi sana huyo dogo, ubinafsi ndio uliomfikisha hapo alipo
 
hata akija kitaani haitabadilisha maisha yako ila itabadilisha yake .kama kua juu atazidi kua juu tu ukweli ndio huo sio kila mtu ataona life ngumu kitaani

kwani wewe mkewe hadi uteseke kiasi hiki kumtetea?
 
Mh. Kafulila wakati anashusha hizo tuhuma za Escrow hakuwa memba wa PAC, na bado serikali ikatikisika. My point is "Zitto, unaweza kufuatilia those issues bila kuwa Mwenyekiti wa PAC" Zitto hakuzaliwa kuwa Mwenyekiti wa PAC. Kuna mafanikio mengi yametokea ndani ya Chadema tangu alipovuliwa Unaibu KUB na Unaibu Katibu mkuu wa Chadema. Hivyo kuna mtu mwingine anaweza kufanya mazuri kuliko aliyofanya yeye.
 
Jamani wadau wenzangu,

Nina Swali rahisi sana kwa Mh. Zitto Kabwe. Jana baada ya taarifa kuwa Mahakama imetupilia kapuni kesi yake na kuipatia ushindi Chadema, Zitto aliandika hivi kwenye ukuta wake wa Facebook:
Swali langu ni rahisi sana: Zitto unadhani ni nani hasa akuvurugaye? Je unadhani Chadema ndio waliochukia kazi yako katika ESCROW na ndio maana wakakufukuza uanachama? Je unadhani waliotuhumiwa katika ESCROW wametia mikono yao mahakamani na kusababisha mahakama ikunyime haki yako? Hapa unayemtuhumu kutumiwa na waathirika wa ESCROW ni Chadema au Mahakama?

Swali lingine la mwisho, mbona hili suala la ESCROW linakuvimbisha kichwa kana kwamba wewe ndiye uliyeliibua? Katika hili swali langu la mwisho, nisieleweke kwamba nahafifisha kazi nzuri ambayo kamati ya PAC iliifanya, bali nieleweke kuwa ninatamani Kafulila apewe heshima inayomstahili katika sakata hilo. Yeye ndiye aliyeitwa ngedere, yeye ndiye aliyetishiwa kushitakiwa mahakamani, yeye ndiye aliyelipigania tangu mwanzo hadi mwisho. Krediti nyingi zingepaswa zimrudie yeye. Nikipata majibu ya maswali yangu haya mawili, moyo wangu utatulia kidogo.
Mkuu wangu msiwe wepesi sana kusahau hata ya juzi maanake mnapenda sana kupakaza watu ili mradi tu muonekane mnaweza kubishana.

Miaka michache tu tulikuwa na kamati ya Bunge kuhusiana na swala la Richmond, nani alopewa sifa zote na hakupewa aloanzisha? tena ilifikia hadi wakamwekea sumu Dk. Harrison Mwakyembekutaka kumuondoa maisha kwani yeye ndio alopeleka swala la Richmond bungeni? Swala la katiba Mpya mbona sifa zote mnampa warioba kwani ndiye alolianzisha ama alikuwa peke yake?

Sawa Kafulila alilirudisha swala la Escrow bungeni na wala sii hoja yake binafsi, swala hili lilikuwepo tayari na yaweza kuwa ya chama chake walihusika kukumbushia lakini yeye ndiye akaitwa Tumbili. na watu mlishangilia humu JF na tumewasoma alipowekwa kundi moja na Zitto kama Tumbili wakidhani hakuna ushahidi au mmesahau!

Walichoshindwa kuelewa ni kwamba Zitto na Kafulila wako karibu sana na walijua undani zaidi wa sakata hili hivyo kama kawaida utaratibu ukatakiwa. Na ndipo mwanzo wa Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG kulalazimika kukagua na kuwakilisha mahesabu za sakata zima la IPTL na Tanesco na kuwakilisha kwa kamati ya Zitto. yalofuata ndio tunayoshangilia leo ama sivyo! Kafulila angebakia Tumbili kama sio kamati hii isngefanya kazi yake vizuri, leo mnasema huyo huyo Zitto alipewa hela za PAP aloishutumu kuhusika na kuitaka serikali itaifishe mtambo wao.

Pasipo kazi ya kamati hii wengi tungeendelea kuamini Kafulila ni tumbili tu kama Zitto mwenyewe maana walisha anza kupakazwa kwa sababu siasa zetu ni za Fitna na majungu. Lakini report ilipotoka na majina kutajwa ndipo wengi wamezidisha chuki kwa Zitto badala ya kuelewa kama mnavyotaka kwamba haikuwa kazi ya Zitto peke yake wapo wajumbe wengi walohusika.

Haya maamuzi ya mahakama yaweje Tundu Lissu (wa washtakiwa) ayapate matokeo lakini sio mshtaka wala hakupewa taarifa! ebu tutafute ukweli yaani mimi nimshaki mtu kisha mahakama ifute kesi yangu na kuwajulisha washtakiwa lakini mshtaka hajui? Na Chadema mnatarajia kufanya nini baada ya kumvua uanachama Zitto maanake mlitangaza kwa majisifu ya ajabu sana mahala ambapo kazi ya kuwasaka wahujumu uchumi imekolea. kwanza mlimvua hata kabla ya kesi kwenda mahakamani leo mnadai kajivua mwenyewe yaani mnatuona sisi watu wajinga kiasi gani?

Siku zote sisi tunatafuta mchawi, iwe kwa kuua wenye ulemavu wa ngozi ama kuua mtu kisiasa maana hatuna akili za uvumbuzi bali mateja ambao tuliamini hata kikombe cha Babu wa Loliondo kuwa dawa. yawezekana hatuna muda wa kufikiri ama ndivyo Tulivyo sasa akitokea mtu tofauti na sisi basi lazima ashushwe tulingane naye...

Mwacheni Zitto mlomshutumu kwa mengi japo anaifanya vema kazi yake alokabidhiwa, Zitto hawezi kuwa na mikono kila pahala isipokuwa tutampima pale alipokabisdhiwa madaraka. Hakuna mtu anayeanzisha kila kitu hadi kifikie mwisho wa mafanikio lazima kuna watu nyuma yake. Hata JK nyuma yake kuna watu elfu kidogo ila uongozi wake utapimwa kwa kutazama yeye kaweza yapi kuyawekea kipaumbele na kufanikisha. Jemedari wa vita siku zote ndiye husifiwa sio kila aaskari alopigana vitani..

nachio muomba tu kiongozi Zitto asichoke asipotoshwe bado tunataka akaunti za Stanbic na Uswiss zitolewe wazi tuwajue waloifilisi nchi yetu.
 
Haya maamuzi ya mahakama yaweje Lissu (mshtakiwa) ayapate lakini sio mshtaka wala hana taarifa! ebu tutafute ukweli yaani mimi nimshaki mtu kisha mahakama ifute kesi na kuwajulisha washtakiwa lakini mshtaka hajui? Na Chadema mnatarajia kufanya nini baada ya kumvua uanachama maanake mlitangaza kwa majisifu ya ajabu sana mahala ambapo kazi ya kuwasaka wahujumu uchumi imekolea.

Siku zote sisi tunatafuta mchawi, iwe kwa kuua wenye ulemavu wa ngozi ama kuua mtu kisiasa maana hatuna akili za uvumbuzi bali mateja ambao tuliamini hata kikombe cha Babu wa Loliondo kuwa dawa. yawezekana hatuna muda wa kufikiri ama ndivyo Tulivyo sasa akitokea mtu tofauti na sisi basi lazima ashushwe tulingane naye...

Mwacheni Zitto mlomshutumu kwa mengi japo anaifanya vema kazi yake alokabidhiwa, Zitto hawezi kuwa na mikono kila pahala isipokuwa tutampima pale alipokabisdhiwa madaraka. Hakuna mtu anayeanzisha kila kitu hadi kifikie mwisho wa mafanikio lazima kuna watu nyuma yake. Hata JK nyuma yake kuna watu elfu kidogo ila uongozi wake utapimwa kwa kutazama yeye kaweza yapi kuyawekea kipaumbele na kufanikisha. Jemedari wa vita siku zote ndiye husifiwa sio kila aaskari alopigana vitani..

nachio muomba tu kiongozi Zitto asichoke asipotoshwe bado tunataka akaunti za Stanbic na Uswiss zitolewe wazi tuwajue waloifilisi nchi yetu.

Mshaurini rais nchi inaelekea kuzama
 
Tatizo kubwa la Zitto ni kuamini hakuna mwenye uwezo kama yeye katika kuibua na kujibu hoja. Aidha, anaamini yeye ndiye tu anayeweza kuongoza na wengine ni wa kuongozwa tu. Tabia hii ya kujiona ndo imemponza. Vilevile Zitto ana tabia ya kutaka kujulikana ana uwezo wa kuongea na wote wenye mamlaka hata yale ya juu kabisa na kwa sababu hiyo anajiona ana kinga ya mambo mengi. Kwa bahati mbaya sana alijidanganya mwenyewe. Sasa asubirie bifu la akina Limbu et al.
 
Mkuu wangu msiwe wepesi sana kusahau hata ya juzi maanake mnapenda sana kupakaza watu ili mradi tu muonekane mnaweza kubishana.

Miaka michache tu tulikuwa na kamati ya Bunge kuhusiana na swala la Richmond, nani alopewa sifa zote na hakupewa aloanzisha? tena ilifikia hadi wakamwekea sumu Dk. Harrison Mwakyembekutaka kumuondoa maisha kwani yeye ndio alopeleka swala la Richmond bungeni? Swala la katiba Mpya mbona sifa zote mnampa warioba kwani ndiye alolianzisha ama alikuwa peke yake?

Sawa Kafulila alilirudisha swala la Escrow bungeni na wala sii hoja yake binafsi, swala hili lilikuwepo tayari na yaweza kuwa ya chama chake walihusika kukumbushia lakini yeye ndiye akaitwa Tumbili. na watu mlishangilia humu JF na tumewasoma alipowekwa kundi moja na Zitto kama Tumbili wakidhani hakuna ushahidi au mmesahau!

Walichoshindwa kuelewa ni kwamba Zitto na Kafulila wako karibu sana na walijua undani zaidi wa sakata hili hivyo kama kawaida utaratibu ukatakiwa. Na ndipo mwanzo wa Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG kulalazimika kukagua na kuwakilisha mahesabu za sakata zima la IPTL na Tanesco na kuwakilisha kwa kamati ya Zitto. yalofuata ndio tunayoshangilia leo ama sivyo! Kafulila angebakia Tumbili kama sio kamati hii isngefanya kazi yake vizuri, leo mnasema huyo huyo Zitto alipewa hela za PAP aloishutumu kuhusika na kuitaka serikali itaifishe mtambo wao.

Pasipo kazi ya kamati hii wengi tungeendelea kuamini Kafulila ni tumbili tu kama Zitto mwenyewe maana walisha anza kupakazwa kwa sababu siasa zetu ni za Fitna na majungu. Lakini report ilipotoka na majina kutajwa ndipo wengi wamezidisha chuki kwa Zitto badala ya kuelewa kama mnavyotaka kwamba haikuwa kazi ya Zitto peke yake wapo wajumbe wengi walohusika.

Haya maamuzi ya mahakama yaweje Tundu Lissu (wa washtakiwa) ayapate matokeo lakini sio mshtaka wala hakupewa taarifa! ebu tutafute ukweli yaani mimi nimshaki mtu kisha mahakama ifute kesi yangu na kuwajulisha washtakiwa lakini mshtaka hajui? Na Chadema mnatarajia kufanya nini baada ya kumvua uanachama Zitto maanake mlitangaza kwa majisifu ya ajabu sana mahala ambapo kazi ya kuwasaka wahujumu uchumi imekolea. kwanza mlimvua hata kabla ya kesi kwenda mahakamani leo mnadai kajivua mwenyewe yaani mnatuona sisi watu wajinga kiasi gani?

Siku zote sisi tunatafuta mchawi, iwe kwa kuua wenye ulemavu wa ngozi ama kuua mtu kisiasa maana hatuna akili za uvumbuzi bali mateja ambao tuliamini hata kikombe cha Babu wa Loliondo kuwa dawa. yawezekana hatuna muda wa kufikiri ama ndivyo Tulivyo sasa akitokea mtu tofauti na sisi basi lazima ashushwe tulingane naye...

Mwacheni Zitto mlomshutumu kwa mengi japo anaifanya vema kazi yake alokabidhiwa, Zitto hawezi kuwa na mikono kila pahala isipokuwa tutampima pale alipokabisdhiwa madaraka. Hakuna mtu anayeanzisha kila kitu hadi kifikie mwisho wa mafanikio lazima kuna watu nyuma yake. Hata JK nyuma yake kuna watu elfu kidogo ila uongozi wake utapimwa kwa kutazama yeye kaweza yapi kuyawekea kipaumbele na kufanikisha. Jemedari wa vita siku zote ndiye husifiwa sio kila aaskari alopigana vitani..

nachio muomba tu kiongozi Zitto asichoke asipotoshwe bado tunataka akaunti za Stanbic na Uswiss zitolewe wazi tuwajue waloifilisi nchi yetu.
Two wrongs don't make a right! Naomba mjadala uendelee.
 
halafu hii tabia mbaya ya wabunge wa nchi hii kuchukua hoja za kamati na kujimilikisha sijui imetoka wapi ? alianza mwakyembe safari hii zitto !
 
Kwa nini zitto kila kitu akifanya na watu anataka aoneshe kazi ile kafanya yeye peke yake kana kwamba wengine si lolote?
Ivi tujiulize zitto asipokuwepo PAC Ina maana kamati itashindwa kuwasilish

a report kisa tu zitto hayupo?
Zitto acha ubinafsi

Kawaida tu.mbona baba wa taifa naye ilikuwa anataka ionekane Uhuru kaupgania peke yake? Cc Mzee Mohamed Said
 
Two wrongs don't make a right! Naomba mjadala uendelee.
It's never wrong bro, Ndivyo dunia nzima inavyoyachukulia maswala yote mazuri na mabaya. Osama hakuwa peke yake wala sio mwanzilishi wa Al Qaeda, Abraham Lincorn sio alokuwa na hoja ya Uhuru wa Marekani na wala hakuwa peke yake. Wewe si ajabu waendesha gari hapo unamjua aloivumbua? au unasifia Toyota yako! Na hata Uhuru wetu ulianza kuzungumziwa na wapiganaji wakiwa Barma lakini leo nani anawajua? na kibaya zaidi hata dhumuni la Uhuru wetu haswa hakuna mtu anayekumbuka!
 
Kwa hiyo maswali yaliyo katika mfumo wa balagha ndio hayo uliyouliza? Yani unauliza swali halafu unatoa jibu au maelezo yenye muelekeo wa majawabu ndo balagha hiyo sio.

Kimsingi ulikua huna swali bali ni umbea tu, halafu acha kujikweza na kujifanya unajua vitu, hilo neno balagha ni neno la kiarabu nafikiri hata kwa kiswahili hujui lina maana gani na linatumika wapi na vipi.

Njoo tena unipe maana ya balagha hapa kama hujui nikufundishe ili ujue namna ya kujenga maswali ya kibalagha yenye kuambatana na "heruf nnidah"
Tatizo lenu 'mashabiki' wa wanasiasa hamjishughulishi kusoma na kufanya tafiti kabla hamjaandika chochote. Mimi siwezi kukujibu zaidi ya hapo. Ikiwa hujui kama 'balagha' ni neno la Kiswahili, bila kujali limekopwa wapi, basi wewe bado unatakiwa uelimishwe au ujielimishe. Asilimia takribani 40 ya msamiati wa Kiswahili una asili ya lugha ya kiarabu. Zaidi sana, tafuta kamusi za Kiswahili utazame neno 'balagha' lina maana gani. Acha kunimalizia 'wino' wangu mimi!
 
Back
Top Bottom