Ni kweli kupishana kwa sababu tumezaliwa tumeikuta baba n mama wamepshana miaka hasa baba kampta mama tena mingi tu,lakin sio kwa dunia ya sasa mpshane,mcpshane,mke awe mkubwa,mume awe mdogo,au mume mkubwa,mke mdogo,yote na yote mapenz ayaangalii umri wala kabila,rangi,destuli,mila ukishapenda...