Halafu lazima aonje, hata asipooa
Bi mkubwa huyo mume anapatikana pasipo kupitia ngazi ya uchumba?
Si inabidi naye ajiridhishe namna nawe ulivyo, au mwenzetu malaika weye?
1.Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 5.Awe mrefu wa futi 6. 6.Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia
Uwiiiiiiiii haya baba paroko at work
1.Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 5.Awe mrefu wa futi 6. 6.Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia
Ghafla tu awe mume khaaa Bi dada mbona una haraka hvyo jua limeshazama nini?
0715418011
ngoja niiquote kabla hujaifuta...!
kuna wanaume wahitaji wengi sana humu!
tupangie ratiba kabisa tukupe hela za kufungulia saluni na grocery!
1 Mbunye!
2 Akili!
3 Ubiuti! Taki kurumbembe!
Hahhahhhahhha atapigiwa mpaka akomeeee
Siku zako za kurogwa zimekaribia, hivi umesahau ni jinsia gani wanaongoza kwa kushinda kwa vigagula??sio kuonja tu.. ale mazima! akiona vimemchafua tumbo, atapike!