Haki ya elimu kwa watoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haki ya elimu kwa watoto

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by twenty2, Jul 31, 2012.

 1. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Watoto wanahitaji elimu na muda wa kutosha

  wa kukaa na wazazi wao sio kuwatumikisha.


  Inaonyesha wazai wengi uwanyima watoto haki ya elimu hasa wale watoto ambao waliopotezewa na wazazi,ndugu zao wa karibu,hatima yake ni kuwatumikisha na kupoteza mda mwingi kwa kufanya biashara na sio kwa ajiri ya masomo.
   
Loading...