Recent content by twahakishavi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema bado hajakomaa na kupevuka kiakili katika masuala ya siasa

    Huyu naye ni chawa tu .aliekomaa kisiasa ni huyo Majaliwa na Jenister wanaoficha historia ya lowasa na hawa ndio washauri wa rais utegemee nchi hii kupata maendeleo?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta viashiria muhimu vya CCM kuanguka uchaguzi unaokuja na upinzani kushinda sivioni

    Maji yaliyotulia yana kina kirefu ajabu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo afunguka kuhusu bodi ya mikopo

    Nchi ya wajinga ndio huweka watu kwa matabaka .hao watoto wanaoitwa wa masikini ndio wepi hao ,utakuta baba zao wako baa kila siku ,ucone watu wanalipa ada za private ukadhani wanazo pesa wameacha kwenda baa hawana nyumba ndogo .tuwatafute hao wanaoitwa masikini tuone, wameoa wanawake wawili...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Magufuli: Ukifika Morogoro mtumbue daktari aliyemruhusu Mbunge kumchoma mwanafunzi sindano ya chanjo

    Nashangaa sana wenye fani mmekaa kimya ka kondoo hamlioni hilo ?UMMY MWALIMU kwanini unaachia mambo ya hovyo ufanyike?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Moses Machali: Je, Zitto ni mbadhirifu ktk kile kinachoitwa ubadhirifu wa trilioni 1.5?

    Machaliiiiii weee unatafuta huruma kwa wakubwaee matumizi ya hela ya serikali yanapangwwa na bunge hiyo hoja yako ya kama zimetumika kununua ndege ni dhaifu ni nje ya bajeti ya serikali ndio maana watu wanauliza wajue zimetumikaje 1.5
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Magufuli: Matatizo Haya Mengine Mnajitakia Bure

    Kweli nchi hii ina tatizo la uelewa hakuna mahali Zitto kasema zimeibiwa alichohiji ni "matumizi ya 1.5 hazijulikani matumizi yake ni yepi namkaguzi amesema wabunge wahoji wapewe mchangauo " mbona mnamtia zitto maneno mdomoni ?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamuru Ney wa Mitego aachiwe huru na wimbo wake upigwe vituo vyote redio na TV

    Hapo Wasomi wet basata mpooo? Naombeni mjitumbue wenyewe
  8. T

    JamiiForums Tanzania Arusha: Lissu ang'ara, asanteni Waziri Mwakyembe na Serikali nzima

    Mimi nilikuwa cijui lolote kuhusu TLS wameamsha watu kutoka kwenye usingixi
  9. T

    JamiiForums Tanzania Vyeti vya Kuzaliwa kabla ya Ndoa: Rais Magufuli ALIFUTA agizo la Waziri Mwakyembe

    Wasomi wote wenye weledi walishaondoka huko kwenye sirikali waliobakia choka MABAYA msimlaum ndio uweezo wao na Huyo ndio mkali wao
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kuhusu AG/CJ na Rais wa TLS , wanasheria tafadhari

    Mbona jibu unalo uliza lingine
  11. T

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari mmepotoka suala la "Mzee wa Upako"

    Ni ajabu kama unadiriki kusema mzee wa upako
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu: Lowassa ana nini jamani?

    Hapa hakuna ushirikina ni kiasi cha kumlilia Mungu na kumweleza maumivu unayoyapata wanavyokunanga na kumkabidhi mamlaka yake ahukumu kwamba wewe huwezi hukumu
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu: Lowassa ana nini jamani?

    Unajikanyaga nini au na wewe umo kwenye list
  14. T

    JamiiForums Tanzania Dalili muhimu za mwanamke aliefika kileleni

    Naona umekunwa
Back
Top Bottom