Kaka
JF-Expert Member
- Nov 22, 2006
- 745
- 373
Tatzo hapa mnashindwa kuelewa na ninajua WENGI mtapingana na hili.Lissu hana dhamira ya Dhati kabsa ya kwenda kuitumia TLS but anachokitaka LISSU au CDM hii kwao ni plan B ya kwenda kupambana na RAIS.
Hakuna mpinzani anezuiwa KUGOMBEA urais TLS....ilah je ni aina gani ya MTU anaeenda kugombea hiyo nafasi.
Mfano tu leo hii tungesikia MWIGULU NCHEMBA au NAPE ndiye mgombea urais TLS UNAFIKIRI HOW COULD IT SOUNDS?
Unaweza kudadavua zaidi hili?
Tunajua kabsa LISSU ana haki ya kuwa mgombea but si mtu sahihi kabsa kuwa RAIS WA TLS. Huyu dhamira yake kabsa na ya DHATI ni kwenda kupambna na MAGUFULI kupitia TLS. Trust me hii TLS lazima ife kibudu iwapo AU haitafanya kazi zake kiufanisi kabsa.
Unadhani kamati ya uchaguzi ya TLS ni watu wasio na weledi kiasi cha kumpitisha kuwa mgombea>? Kama jibu ni ndio, dadavua mkuu.
Afu kingne ni UPUUZI kabsa kumfanya LISSU rais wa TLS a guy ana majukumu mengi mno ya kiuongozi ukitumia hii fact ya MAJUKUMU ya kiongozi aliyo nayo LISSU lazima ukubali kuwa huyu JAMAA SIYO, hapo anaenda pambana na MAGUFULI TU KWANI
Dadavua mkuu, kwa nini unadhani hayo "majukumu mengi" yatamfanya bwana Lissu ashindwe kutimiza majukumu yake? Kwa mfano, mhshimiwa JPM ni 1) Rais, 2) Amiri Jeshi Mkuu, 3) Mwenyekiti wa CCM vipi kwa upande wake?
Na kuna tetesi CHAMA PIA KIMETOA kiasi fulani cha pesa kutoa sapoti ili jamaa ashinde hata kama LISSU angekuwa ni RAIS wa nchi hii asingekubali kuona NAPE anaenda gombea kuwa rais wa TLS.
Ukipata uthibitisho wa hizo tetezi rudi kwenye huu uzi utuwekee mkuu.
Me nawashauri tu wale wote watakaoshiriki katika zoezi hili la UCHAGUZI wasiwachague wale wote wenye makando kando ya VYAMA VYA SIASA kama kweli wanataka kuona TLS iliyo fanisi they have to go for a neutral candidate.
Bado siku 4.
Kaka ...