Recent content by tusionacho

  1. tusionacho

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Wa Kufundisha General Studies Anahitajika

    Huna adabu
  2. tusionacho

    JamiiForums Tanzania Hotuba inayomtesa Mbowe na viongozi wa CHADEMA hii hapa

    Asante for your sweetest speech
  3. tusionacho

    JamiiForums Tanzania Bado kuna familia zinakataza watoto wa kike kuvaa suruali??

    Mimi mke wangu atafute mume mwingine watoto watatafuta baba mwingine hata ndugu wakinitembelea mwisho stendi sitaki mambo ya lucifer kwenye nyumba yangu
  4. tusionacho

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awakemea TRA kwa kuwanyanyasa wafanyabiashara kwa kisingizio cha kodi

    Wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wanawapelekesha TRA wakiamua tu kutafuta kiki wanatoa amri kwa TRA kwenda kufunga maduka wakiwa na watu mnada na wao wanasema wametumwa na mkuu wa nchi kulazimisha kodi. Wanabambikiza kodi utasikia ulikwepa kodi kwa miaka 10. Kila kona ya nchi biashara...
  5. tusionacho

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Mwalimu Nyerere watimia

    Kuja kwa mange ni mapenzi ya mungu kuandamana ni haki ya kikatiba
  6. tusionacho

    JamiiForums Tanzania Tanzania yafanya vibaya kwenye tathmini ya kimataifa ya nchi salama kuwekeza na kukopesha

    Kazi kuteka, kupiga risasi na kuua watu demokrasia na vyombo vya habari
  7. tusionacho

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

    Kutumia silaha za moto kwa waandamanaji wasiokua hata silaha ni kinyume kisheria pia na haki za binadamu. Toka kuingia kwa Sizonje madarakani amekua na tamaduni kufanya mauji mbalimbali pia kudhuru watu na kuteka. Kupigwa kwa mheshimiwa Lissu jirani na nyumba naibu spika na walinzi wa serikali...
  8. tusionacho

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba kuhitimisha kampeni za Mtulia Kinondoni

    Kweli CCM imepoteza mvuto sasa nani amsikilize makamba kwa lipi?
  9. tusionacho

    JamiiForums Tanzania Baada ya kujiuzulu kwa Mugabe, Waziri Mkuu wa Ethiopia na Jacob Zuma; Nani atafuata?

    Sizonje ni kero no 1 Africa
  10. tusionacho

    JamiiForums Tanzania Jifunze mambo 40 ambayo ni ya kweli na uhakika

    A lot of them are true
  11. tusionacho

    JamiiForums Tanzania Katiba ya CHADEMA kuhusu ukomo wa Mwenyekiti wao Taifa inasemaje?

    Tunataka huyo huyo aendelee kuwanyima usingizi wakoloni wa kijani nyie mlitaka mumpandikize Zitto mkashindwa mnataka tubadili ili tupate wenyeviti kama Lipumba
  12. tusionacho

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa ubunge Kinondoni kuwa kama ule wa Temeke, Mrema vs Sisco enzi ya Mkapa?

    Tatizo la ccm ni kumshindanisha Salum Mwalimu na vitu vya kijinga
  13. tusionacho

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaomtumia matatizo yetu Mange Kimambi kwa kujificha ndiyo njia ya kuyatatua kweli?

    Very brilliant answer kumbe una akili huwa unajifanya chizi yani ukitaka uwe mtu wa kuitetea CCM lazima ujifanye mwehu umejibu kiutu uzima leo
  14. tusionacho

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamvua nafasi ya uongozi Diwani Joseph Nzala Ryata, yeye atangaza kuhamia CCM

    Mwenyewe mleta taarifa ameficha ficha makosa ni yapi?
Back
Top Bottom