Wakazi wa Kinondoni, Wanachama wa CCM mnakaribishwa siku ya Ijumaa Februari 16 kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Kinondoni katika Viwanja vya Biafra Kinondoni.
Muda ni kuanzia saa Sita Mchana. Mgeni rasmi atakuwa Mzee Yusuph Makamba akiambatana na Waheshimiwa Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi pamoja na Viongozi Waandamizi kutoka CCM.