CHADEMA yamvua nafasi ya uongozi Diwani Joseph Nzala Ryata, yeye atangaza kuhamia CCM

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
CHADEMA – KANDA YA NYASA 02.01.2017

TAARIFA KWA UMMA

YAH: KUMVUA NAFASI ZA UONGOZI DIWANI JOSEPH NZALA RYATA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa kinapenda kuutaarifu Umma kuwa kikao cha Sekretariet ya CHADEMA Kanda ya Nyasa kilichokaa Jumatatu tarehe 01 Januari 2018 ambacho kililenga kujadili masuala kadhaa ya utendaji ikiwemo suala la uwajibikaji kwa viongozi mbalimbali wa Chama kilifikia maamuzi ya kumvua nafasi za uongozi Joseph Nzala Ryata (Diwani wa Kata ya kwa Kilosa – Iringa Manispaa) ambazo ni Katibu wa Madiwani Kanda ya Nyasa na Katibu wa Kamati ya Wagombea Kanda ya Nyasa kutokana na uwajibikaji hafifu na kukiuka maadili ya chama.

Aidha kikao pia kilitoa maagizo kwa Viongozi wa ngazi mbalimbali za Chama kufuatilia na kutoa ripoti za utendaji wa kazi na pia kilisisitiza viongozi wake kuendelea na utekelezaji wa shughuli za Chama kwa mwaka 2018 kama ilivyo kwenye kalenda ya chama na maagizo mbalimbali yaliyomo katika waraka wa Katibu Mkuu.

Imetolewa na:

Afisa Habari

Kanda ya Nyasa

======

UPDATES; 1300HRS

======

iringa.jpg

Aliyekuwa Diwani wa kata ya Kwakilosa manispaa ya Iringa, katibu wa madiwani Kanda ya Nyasa, Joseph Ryata amejivua uanachama wa Chadema na kujiunga na CCM.
 
Huyu ni mwl lyata bila shaka... Ama ni mwingine amewahi fundisha Njombe secondary
 
Kumbe CCM wakifukuza wasaliti mnaona wanawaonea ila nyie mkifukuza wasaliti mnaona wamefanya vyema..kweli nyani haoni kundule..Kwenye vikao vyetu vya ndani nilisema tuvumiliane ila akini Lema wakajidai kunisahmbulia

Usaliti ni laana .
 
Kumfuata mwishimiwa hata mimi namwacha mke wangu kumfata mwishimiwa!!!!
mkuu kumuacha mke ni laana moja mbaya sana, pia bado umfuate mtu mwenye laana pia, huoni utakua na laana mbaya na itakua hamna wa kukutoa ispokua mungu pekee.!?8)
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom