Uchaguzi wa ubunge Kinondoni kuwa kama ule wa Temeke, Mrema vs Sisco enzi ya Mkapa?

Jamani nimetokea mbali huku kwetu. Mambo ya kwenu huko ni mageni kwetu, Je, Ndo huyo Mwalimu keshapitishwa na Nec??
nec ya bashite na baba yake ngoja wakimaliza kulea mtoto wa angelina watakuja kukujibu mazinga hombwe nchi hii muulizeni Kikwete alitoa wapi hii banyamulenge de republica of Kagame
 
nec ya bashite na baba yake ngoja wakimaliza kulea mtoto wa angelina watakuja kukujibu mazinga hombwe nchi hii muulizeni Kikwete alitoa wapi hii banyamulenge de republica of Kagame

Hukunijibu swali langu lakini. Mimi sikuuliza kama kuna Nec ngapi ila nimeuliza tu; Je Mwalimu kapitishwa yaani ruksa agombee huo ubunge??
 
"Nikuteue mimi, nikupe mshahara mimi, nikupe gari mimi, halafu eti unamtangaza mpinzani kashinda! Heeeeeeee! Kazi imekushinda... nasema kazi imekushindaaaaa." (Maguu, 2017)
 
USSR: Wana JF wanapiga kura. Kwani wewe unauhakika hakuna mwana JF ambaye ni mpiga kura wa Kinondoni? Sasa mimi nikwambie japo kwetu asilia ni Chato ila naishi Kinondoni na nitapiga kura yangu kwa Mwalimu. Hivi usipomchagua Mwalimu unachagua huyo kibaka wa siasa?

Ila CCM wanatia huruma sana. Ina maana kweli Kinondoni nzima haina mwanaCCM mwenye sifa za kuwa mbunge hadi wasubiri Mtulia asiyetulia atoke CUF aje kuiokoa CCM? Mnatia aibu sana wanaCCM kwa kweli.
 
Kipindi cha mkapa siasa haikubakwa Kama Sasa hivi siasa imebakwa tena hadharani watu hawaogopi kuuwa kisa tu ushindi kwaiyo tusitegemee yaliyotokea temeke mda ule tuyaone sasa
 
Je, uchaguzi wa mbunge wa Kinondoni ambao kimsingi mpambano utakuwa kati ya Mtulia na Mwalimu utabeba sura ya kitaifa? Wahenga wenzangu nadhani mnaukumbuka uchaguzi uliompa Lyatonga Mrema ubunge wa Temeke jinsi ulivyoshirikisha viongozi wote mashuhuri wa kisiasa nchini. Je, tuutegemee ushindani kama ule safari hii. Karibu kwa wenye umri zaidi ya miaka 18 tu, ahsante!

Ule Uchaguzi naukumbuka Kama Jana!

Hakuna Uchaguzi mdogo uliovutia Kama ule

Mustakbali wa Mrema Kisiasa ulitegemea Matokeo ya Uchaguzi ule

Ulifanyika October 6, 1996
Mgombea wa CCM alikuwa Hayati Abdul Omar Sisco Mtiro Brother men wa wakati huo cheni shingoni wakati jamii haijazoea, inasemekana akiwa Mkuu wa Protocal Ikulu Huyu Sisco ndio alimfundisha Mkapa kuvaa cheni shingoni

Waendesha Kampeni wakubwa upande wa CCM walikuwa Marehemu Ditopile Mzururi na Bibi Titi Mohamed

Upande wa Mrema alikuwa Mabere Marando na Dkt Masumbuko Lamwai

Kampeni hizi ndipo Mwezi Sept Augustine Lyatonga Mrema alietingisha kweli kweli aliekuwa ndio Rais wa Mioyo ya walalahoi wakati huo akalipua Bomu maarufu sana la Million 900 kwenye Mkutano wa hadhara
Akimtuhumu Rais Mkapa kukunja 500 Million
Prof Simon Mbilinyi Waziri wa Fedha kukunja 200
Na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu Martin Lumbanga kukunja 200 million, Nchi ilitikisika kweli kweli kwa Rais kutajwa hadharan Tena kwenye Mkutano wa hadhara kupokea Rushwa

Mrema alitingisha kuliko Lowassa alivyotingisha japo kizazi jipya huenda wakabisha
 
Mkuu johnthebaptist, Pohamba

Tupia hali halisi ilikuwaje uchaguzi jimbo la Temeke, Dsm mwaka 1995 Mrema vs Cisco maana nime-google hakuna habari kwa kirefu zaidi ya nukuu hii hapa chini. Kumbuka Jamiiforums ni kisima cha kuchota habari, historia n.k:

Uchaguzi Mkuu wa mwaka 1995 kwa majimbo ya Dar Es Salaam ikiwemo Kigamboni ... Mrema alishinda kwa kura 54,840 = 59% dhidi ya Abdul Cisco Ntiro wa CCM aliyepata kura .. Augustine Mrema NCCR-Mageuzi 54,840
Abdul Cisco Mtiro CCM 33,113
Hiza Tambwe CUF 3,324
Alec Che Mponda TPP 515
Mege Omar UMD 422
Samson Msambara CHADEMA 217
Legile Msonde UPDP 162
Ndembe Abdallah PONA 120
Rashid Mtuta NRA 114
Brighton Nsanya NLD 69
Shabaan Matembo UDP 67
Rachel Mutayoba TLP 62
Paul Mtema TADEA 54
 
nec ya bashite na baba yake ngoja wakimaliza kulea mtoto wa angelina watakuja kukujibu mazinga hombwe nchi hii muulizeni Kikwete alitoa wapi hii banyamulenge de republica of Kagame
Nyie bashite kawaroga?utapakatwa dada kila kitu bashite bashite
 
Msijisahaulishe kitu kidogo tu,kuligiwa kura nying ni tofauti na kutangazwa mshindi
 
Ule Uchaguzi naukumbuka Kama Jana!

Hakuna Uchaguzi mdogo uliovutia Kama ule

Mustakbali wa Mrema Kisiasa ulitegemea Matokeo ya Uchaguzi ule

Ulifanyika October 6, 1996
Mgombea wa CCM alikuwa Hayati Abdul Omar Sisco Mtiro Brother men wa wakati huo cheni shingoni wakati jamii haijazoea, inasemekana akiwa Mkuu wa Protocal Ikulu Huyu Sisco ndio alimfundisha Mkapa kuvaa cheni shingoni

Waendesha Kampeni wakubwa upande wa CCM walikuwa Marehemu Ditopile Mzururi na Bibi Titi Mohamed

Upande wa Mrema alikuwa Mabere Marando na Dkt Masumbuko Lamwai
Swadakta mkuu!!!!
 
Back
Top Bottom