Recent content by Tushirikishane

  1. Tushirikishane

    Je una maoni, ushauri au maswali kwa Mbunge Faustine Ndugulile kuhusu maendeleo ya Kigamboni?

    Mbunge wa Kigamboni, Dr. Faustine Ndugulile Dr F. Ndugulile amekuwa akishirikiana na Mamlaka za Serikali za Mitaa, Wananchi na Viongozi wa Manispaa katika kuleta maendeleo jimboni kwake kupitia mradi wa Tushirikishane. Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Mh. Faustine Ndugulile (Kushoto) na...
  2. Tushirikishane

    Je una maoni, ushauri au maswali kwa Mbunge Nape Nnauye kuhusu maendeleo ya Mtama?

    Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye Nape Nnauye amekuwa akishirikiana na Mamlaka za Serikali za Mitaa, Wananchi na Viongozi wa Manispaa katika kuleta maendeleo jimboni kwake kupitia mradi wa Tushirikishane. Washiriki wa Warsha ya Tushirikishane Mtama katika picha ya pamoja na timu ya Jamii Media...
  3. Tushirikishane

    Je una maoni, ushauri au maswali kwa Mbunge Wilfred Lwakatare kuhusu maendeleo ya Bukoba Mjini?

    Mbunge wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare Wilfred Lwakatare amekuwa akishirikiana na Mamlaka za Serikali za Mitaa, Wananchi na Viongozi wa Manispaa katika kuleta maendeleo jimboni kwake kupitia mradi wa Tushirikishane. Kufanikiwa kwa maazimio haya ya maendeleo kunategemea pia mchango wa wadau...
  4. Tushirikishane

    Je una maoni, ushauri au maswali kwa Mbunge Hussein Bashe kuhusu maendeleo ya Nzega Mjini?

    Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe Hussein Bashe amekuwa akishirikiana na Mamlaka za Serikali za Mitaa, Wananchi na Viongozi wa Manispaa katika kuleta maendeleo jimboni kwake kupitia mradi wa Tushirikishane. Wadau wa Maendeleo, Viongozi na wananchi wa Nzega wakiwa katika picha ya pamoja na...
  5. Tushirikishane

    Je una maoni, ushauri au maswali kwa Mbunge Zitto Kabwe kuhusu maendeleo ya Kigoma-Ujiji?

    Mbunge wa Kigoma-Ujiji, Zitto Zuberi Kabwe Zitto amekuwa akishirikiana na Mamlaka za Serikali za Mitaa, Wananchi na Viongozi wa Manispaa katika kuleta maendeleo jimboni kwake kupitia mradi wa Tushirikishane. Kufanikiwa kwa maazimio haya ya maendeleo kunategemea pia mchango wa wadau mbalimbali...
  6. Tushirikishane

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Mtama

    Mradi wa Tushirikishane (JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane") umeanza rasmi jimbo la Mtama chini ya Uongozi wa Mbunge, Mheshimwa Nape Nnauye Nape Nnauye Tokana na misingi ya TUSHIRIKISHANE iliyoelemea katika kuwawezesha wabunge wa kuchaguliwa kutekeleza ahadi zisizopungua 4...
  7. Tushirikishane

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Kigamboni

    Mradi wa Tushirikishane (JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane") umeanza rasmi jimbo la Kigamboni chini ya Uongozi wa Mheshimiwa Dr. Faustine Engelbert Ndugulile Dr F. Ndugulile Washiriki wa Warsha ya Tushirikishane Kigamboni katika picha ya pamoja na timu ya Jamii Media baada ya...
  8. Tushirikishane

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Kigoma Mjini

    Hadi sasa tumeshashirikiana na wabunge watatu, Waheshimiwa Wilfred Lwakatare , Hussein Bashe na Zitto. Kutoka wiki ijayo tunazindua Mtama (kwa Mheshimiwa Nape Nnauye ) na Kigamboni kwa Mheshimiwa Dr. Faustine Ndungulile. Maongezi yalifanywa na management hapo jana; .
  9. Tushirikishane

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Kigoma Mjini

    Mkuu hii tayari ilishafanyika Kigoma, na sasa ni utendaji wa kuhakikisha ahadi hizo zinatimizwa ndani ya Miezi tisa toka mradi kuzinguliwa jimboni. Kwa taarifa zaidi unaweza pia kutembelea mada hii - JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"
  10. Tushirikishane

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Kigoma Mjini

    Mradi wa Tushirikishane (JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane") umeanza rasmi jimbo la Kigoma ujiji chini ya Uongozi wa Mheshimwa Zitto Zuberi Kabwe Zitto Tokana na misingi ya TUSHIRIKISHANE iliyoelemea katika kuwawezesha wabunge wa kuchaguliwa kutekeleza ahadi 4 kati ya jumla ya...
  11. Tushirikishane

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Mradi wa Tushirikishane (JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane") umeanza rasmi jimbo la Nzega mjini chini ya Uongozi wa Mheshimiwa Mbunge Hussein Bashe Tokana na misingi ya TUSHIRIKISHANE iliyoelemea katika kuwawezesha wabunge wa kuchaguliwa kutekeleza ahadi 4 kati ya jumla ya...
  12. Tushirikishane

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Mradi wa Tushirikishane (JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane") umeanza rasmi jimbo la Bukoba mjini chini ya Uongozi wa Mheshimiwa Mbunge Wilfred Lwakatare. Tokana na misingi ya TUSHIRIKISHANE iliyoelemea katika kuwawezesha wabunge wa kuchaguliwa kutekeleza ahadi 4 kati ya jumla...
  13. Tushirikishane

    JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"

    Mtandao wa JamiiForums.com umezindua rasmi mradi wa unaowashirikisha viongozi wa kuchaguliwa(hususani wabunge na madiwani), Serikali(Halmashauri) na Wananchi katika kurahisha upatikanaji wa maendeleo. Mradi huu unaotambulika kama "Tushirikishane" una malengo ya kuwawezesha wabunge wa...
Back
Top Bottom