Tushirikishane
Member
- Aug 9, 2016
- 13
- 67
Mradi wa Tushirikishane (JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane") umeanza rasmi jimbo la Mtama chini ya Uongozi wa Mbunge, Mheshimwa Nape Nnauye Nape Nnauye
Tokana na misingi ya TUSHIRIKISHANE iliyoelemea katika kuwawezesha wabunge wa kuchaguliwa kutekeleza ahadi zisizopungua 4 kati ya jumla ya ahadi walizotoa wakati wa uchaguzi kwa urahisi kwa kushirikiana na wananchi; mada hii itatumika kuwasilisha, kujadili na kupeana taarifa ya kile kinachojiri Mtama.
a. Kushawishi upatikanaji wa Wilaya mpya ya Mtama
b. Kusimamia uboreshaji wa huduma za afya pamoja kukipandisha kituo cha afya
c. Kuhakikisha mradi mkubwa wa kusambaza maji Jimboni unaanza.
d. Kusimamia upasuaji wa barabara zinazounganisha kata moja na nyingine, usambazaji wa miundombinu na kuhakikisha Jimbo zima lina umeme wa uhakika.
Mada hii itatumika zaidi na Wana Mtama kutupa taarifa.
Washiriki wa Warsha ya Tushirikishane Mtama katika picha ya pamoja na timu ya Jamii Media baada ya kumalizika kwa warsha ya siku tatu ya mradi huo.
Baadhi ya Washiriki watakuwa:
1. Mh. Mbunge Nape Nnauye
2. Afisa habari Mtama
3. Washiriki wote wa Warsha hiyo na wale wote wenye mapenzi ya Maendeleo ya Mtama.
Karibuni.
Kufahamu majimbo mengine yenye mradi huu tembelea - JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"
========
Akaunti za mradi wa Tushirikishane katika mitandao ya Kijamii:
Tushirikishane (@tushirikishane) • Instagram photos and videos
Tushirikishane | Facebook
Tushirikishane (@tushirikishane) | Twitter

TUSHIRIKISHANE – AHADI ZA MBUNGE
MTAMA