TUSHIRIKISHANE Je una maoni, ushauri au maswali kwa Mbunge Faustine Ndugulile kuhusu maendeleo ya Kigamboni?

Aug 9, 2016
13
67
Mbunge wa Kigamboni, Dr. Faustine Ndugulile Dr F. Ndugulile amekuwa akishirikiana na Mamlaka za Serikali za Mitaa, Wananchi na Viongozi wa Manispaa katika kuleta maendeleo jimboni kwake kupitia mradi wa Tushirikishane.

AgrmtKigamboni.jpeg

Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Mh. Faustine Ndugulile (Kushoto) na Mwanzilishi mwenza na mmoja wa Wakurugenzi wa Jamii Media Mike Mushi (Kulia) baada ya kusaini makubaliano ya kushiriki katika utekelezaji wa Mradi wa Tushirikishane.


Kufanikiwa kwa maazimio haya ya maendeleo kunategemea pia mchango wa wadau mbalimbali wa maendeleo ndani na nje ya Manispaa ya Kigamboni.

Je una maoni yeyote kwa Mbunge kuhusu utekelezaji wa maendeleo jimboni mwake?

Una swali lolote kwa Mbunge? Unapendezewa na namna mbunge wako anafanya kazi?

Kwa mjadala wa Mradi wa Tushirikishane Kigamboni, tembelea => TUSHIRIKISHANE - Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Kigamboni
 
Back
Top Bottom