TUSHIRIKISHANE Je una maoni, ushauri au maswali kwa Mbunge Hussein Bashe kuhusu maendeleo ya Nzega Mjini?

Aug 9, 2016
13
67
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe Hussein Bashe amekuwa akishirikiana na Mamlaka za Serikali za Mitaa, Wananchi na Viongozi wa Manispaa katika kuleta maendeleo jimboni kwake kupitia mradi wa Tushirikishane.

AgrmtNzega.jpg

Wadau wa Maendeleo, Viongozi na wananchi wa Nzega wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jamii Media katika warsha ya Tushirikishane Nzega Mjini.

Kufanikiwa kwa maazimio haya ya maendeleo kunategemea pia mchango wa wadau mbalimbali wa maendeleo ndani na nje ya Jimbo la Nzega mjini.

Je una maoni yeyote kwa Mbunge kuhusu utekelezaji wa maendeleo jimboni mwake?

Una swali lolote kwa Mbunge? Unapendezewa na namna mbunge wako anafanya kazi?

Kwa mjadala wa Mradi wa Tushirikishane Nzega Mjini, tembelea => TUSHIRIKISHANE - Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega
 
Ngoja nimalizie kibarua changu then nitarudi kuchangia nikiwa sina stress.
 
Back
Top Bottom