Recent content by turashashe jr

  1. T

    Siri: Waganga wa kienyeji hutapeli hivi. Lumani itawamaliza wana jf wapenda ushirikina

    Hii kitu unajifanya unajua halafu hujui ni Mbaya sana tangia lini Luman ikafanya kazi hiyo ya kutambua matatizo ya mtu na lini ikataka kafara hizo huo mbona unaiongopea jamii
  2. T

    Mimba za kuzimu

    Mshana jr labda nikwambie kitu kimoja ni kweli kuna watoto wa kuzimu na wengine wa kawaida tu ambao mwanamke anakuwa kizazi chake kimechukuliwa kishirikina hivyo kukaa bila kupata mtoto kwa mda mrefu na hapo ndio anapoanza kutafuta mtoto kwa nguvu kupitia kwa waganga na nk sasa mtu...
  3. T

    Mchawi aingia choo cha kike kwa Mlokole

    Naona watu wamekalili kila mchawi anayeenda kuwanga lazima awe uchi hamjui kama siku hizi ktk ulimwengu huo mambo yamebadilika ila kiujumla hiyo story inaonekana ni ya uongo kwani si kila mchawi anapaka kiapo yani huo unga mweusi unaousema ila kwa vile kila story ya mchawi lazima upate neno kuwa...
  4. T

    Je, umewahi kujutia shahada uliyosomea? Njoo tushauriane!

    Nimekosa chuo round mbili za mwanzo TCU advance nilisoma cbg now nimejaza kozi za biashar kwa sabab ndo zilizobak kuna bcom.marketing,and accounting and finance with IT,nimepanga niachane na hzo degree za biashara nichukue kozi ya afya diploma kama med lab na nesi ushauri wenu ndugu zang.either...
  5. T

    Wafahamu wachawi na uchawi hapa

    Mleta amepotosha. Watu kwa kuwa anaonekana alichoandika amehadithiwa bila kufanya utafiti mana hawa naona ndio wale hutunga hadithi za nimefika kuzimu ili wapate watu
  6. T

    Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

    Karibu adebisi na sio mbaya kujongea nasi ili uweze kufahamu ulimwengu wa Giza na jinsi nguvu za Giza zinavyotumika kwa kuwa mi nilikabidhiwa bure na marehemu mzee wangu nami nitawafundisha bure kikubwa usiwe mwoga tu kwa Yale utakayoyaona
  7. T

    Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

    Msijari tupo pamoja nikirudi tu nitamcheki mshana kwa sababu kuna vitu tulishaongea hivyo atawajurisha kwa kuwa kuna watu huwa hawaamini ila kwa mtakayoyaona nadhani hata ikija mada ya uchawi na viongozi wetu mtaaamini na mtawafanya wengine nao wajue viongozi wetu ni watu wa namna gani
  8. T

    Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

    Mshana Jr ningekua nimesharudi dar tungekwenda wote kwa kuwa sisi wengine huwa hatuwekewi vipingamizi ila nimekuwa na mambo mengi kwa kuwa hata Mimi ningependa watu waone namna dunia ilivyo na jinsi gani unaweza kumfufua mtu na kuongea nae kisha akakuelekeza unavyoweza kuwatawara watu vitu...
  9. T

    Utajiri wa kishirikina unavyotesa wengi

    Kuna vitu huwa vinafanyika mpaka mtu kuwa tajiri ndio mana unaambiwa utoe kafara ya damu unapokwenda kwa mganga japo kuna utajiri mwingine unaweza kuupata bila kutoa damu ila nao huitaji ujasiri wa hari ya juu
  10. T

    Tetesi: There's something cooking

    Mi naona mleta mada ndio huelewi hapo Ali k alipita kabla ya dai na tukija kwa wema ni hivyo hivyo tena kwa wema kuna mahali dai na kiba walikuwa wanakuja pamoja ila ni sili yangu
  11. T

    Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

    Umeona wajuaji wamekuja wenye dini zao mshana jr
  12. T

    Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

    Nimekuelewa kaka mshana Jr kwa sisi tunaomini ktk mizimu uwezo wa kumuita mzee wako na kuongea nae upo ila inategemea unamuita kwa kusudio lipi nitakupa mfano Mimi kipindi nazaliwa miaka 25 nyuma ilitokea kukataa jina mana baba yangu alikua mganga mkubwa tu hivyo jina nililopewa mizimu ikakataa...
  13. T

    Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

    Mkuu mshana Jr hiyo elimu ya kuongea na wafu IPO na inawezekana,mfano sisi waha tuna matambiko yetu huwa tunayafanya mto lugohe au mgandazi kulingana na ukoo sasa kwetu tuna mizimu ya mtusi kazi mhambwe na mtanganyika unapofanya tambiko na likakubaliwa utawaona hao mizimu na kula utakula nao na...
  14. T

    Moyo na roho ya Gwajima vipo kwenye mali yake!

    Mungu ni maskini ndio mana watu hawampendi wanakwenda kwa shetani kupata utajili
  15. T

    Maelezo binafsi ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya tuhuma za rushwa kwa Umma

    Hili gari la chadema abilia wake wengi wanatatizo mana sidhani kama mtu kuhama anaweza shambuliwa namna hii tujifunze siasa na sio chuki mana hata wewe unaweza kuhama
Back
Top Bottom