Wafahamu wachawi na uchawi hapa

kwani majini kusilm nijambo baya? wehujui uliza majini wametahajwa zaid yamara 20kweny bible malaika wameelkza dawa zakupnga mappo tibiti6:1-8 na 8;1-3.mambo yaramli ymetajwa samwel1sura28aya ya3-20.yesu alielekrza kupnga majini mathayo8;28-34.namathayo17:14-21..majini pia walmwamin yesu soma marko3;11.pia walitii wanafunzi kwajina la yesu luka10:17.paulo pia alipeleka wanafunzi wakekwashetani wafundishwe wasimtukane mungu timotheo wakwnza1:18-20.hao majn niviumbe na tunaish ktk ulimwngu mmoja kwamujbu wavtbu vyte ndomna ktk biblia walaw17:1-7 MAJNI WALZNI NA WANAISRAEL SO WAO KUAMIN NIHAKI YAO NDOMANA KUNA MAJINI KILA DINI KILA KABILA NAHAYO YMESEMWA NABIBLE HATA KABLA MUHAMMAD HAJZALIWA IKIWA WACHAW WALIAMIN MFNO SIMON SOMA MITUME8:9-11.NAHATA MAPEPO WALITII VP KWNYE QURAN IONEKANE NDO AJBU NA MTAMBUE UISLAM NDODINI ILIPINGA VIKALI USHIRIKINA KULKO DN NYNGNE YYTE aya ya3 ktk sura yatano na aya yatisini ktk sura hiyohiyo mwmungu amesema wazi.quran haiusiki na uganga wala kupunga imesemwa wazi sura ya6 aya112.tujitahidini tusome tusifate mkumbo kmakuna mtu anahitaj ufafanuzi zaid anitfte mana naandka kifup sabbu nnamambo mngi yananizonga nakwakua kuna vitabu vingi nshaandika kuhusu haya mambo sioni sabbu yakujaza jukwaa mtuakitaka hoja avitafute then ataelewa vzuri

we nae tulia eti kila dini ina majn.... mmmh mwongo ww
 
ndugu yangu nafikiri umeusoma kwa gadhabu ndio maana umeshindwa kuuelewa ni wapi niliposema wachawi wanakutana kila ijumaa?? na pia ninaposema makanisa ya kiroho simaanishi makanisa yote maana kuna makanisa ambayo si ya kiroho japo ni makanisa,lakini pia unaposema wapo wanaotumia biblia kufanyia ulozi mi nafkiri quran imekuchanganya ndgu yangu ndo mana huwezi kuta hata mganga anatumia biblia kwnye kilinge chake cha uganga?? na kama ushawahi kumuona mtu anatumia biblia kuponya basi jua huyo ndo mlokole tunaemzungumzia maana kinachoponya si hio biblia bali ni neno lililoandikwa humo lakini hao tunalowaskia wanaitwa waganga wa vitabu ni vitabu gani wanavyotumia??

waganga unajua maana yake rejea kamusi,na kama wale wicka na new pganisaium niwqlokole sawa nakubali manawanatamia bible naukitka kujua zaid ntfte nkuthbitishie au hatagoogle.kuhusu ijmaa mantk yngu nijwmba wachaw hawna ckumaalum ushirikiano maalum manawamegawnyka pia
 
wakuu eti ni kweli mbwa anaona wachawi?...pia mbwa wetu usilu huwa analia kilio flani hiv amazin yani auuuuuuuuu wu wuuuuiuuu. hapo ndo anakua kaona mwanga?

shukram
 
Simulizi yako haina mashiko
Pale ulipo sema ijumaa wachawi aw logi kwasababu ya uwapo wa mikutano ya kilokole siku hiyo, sioni kama kuna ukweli maana ulokole hasa nchi zetu hizi umekuja juzi tu na uchawi upo tangu enzi sasa ijumaa kabla ya ulokole walokua wanaloga?

Sijasema hawalogi ila nimesema huwa hawasafiri kwasababu ya hiyo mikesha ya walokole,uchawi upo tangu enzi za mitume na manabii lakini kutokana na kukithiri kwa makanisa ya kiroho miaka ya hivi karibuni wakapitisha hiyo siku iwe siku ya kutokusafiri na nafkiri nimeelezea hapo juu sema tatzo lenu mnasoma kwa gadhabu
 
Mkuu inamaana wewe huamini katika mambo haya kama yanaexist??

Naamini kuna shetani ila mlicho andika humu na merengo90 ni Riwaya tu.
Mngenibadili mtazamo na msimano wangu kama mngeni onyesha how exactly u guys proved the existance of these things u say.

Take Note:

Mimi ni Mkristo hai (swala 5 daily). Nina amini kuna Mungu muweza ya yote. Naku challenge tu ulicho andika humu.
 
Last edited by a moderator:
Nasubiri urudi mjini..maana haya mambo bhana ni hatari..Ila sijaona unawaongelea waislam umeongelea Ukristo tu.

Anapiga debe kwao ili wapate wanachama wengi sadaka iongezeke.

Pia anaamini kuwa wakristo pekee wataenda mbinguni.
Huyu atakuwa anaongozwa na sio kuongozwa mana uelewa na dini haujui
 
Wewe acha kutuzingua, unadai wachawi hawarogi ijumaa eti kwa kuwa walokole wanakesha kanisani, kwa nini usiseme hawawangi kwa kuwa ijumaa ni siku tukufu kwa waislamu wanafanya ibada kwa wingi!?
Inawezekana mkuu japo sinaufahamu khsu hili lako maana pia wapo wachawi wakristo
 
Mleta amepotosha. Watu kwa kuwa anaonekana alichoandika amehadithiwa bila kufanya utafiti mana hawa naona ndio wale hutunga hadithi za nimefika kuzimu ili wapate watu
 
Anapiga debe kwao ili wapate wanachama wengi sadaka iongezeke.

Pia anaamini kuwa wakristo pekee wataenda mbinguni.
Huyu atakuwa anaongozwa na sio kuongozwa mana uelewa na dini haujui

Sipo kwa ajili ya kupiga debe ndio maana hakuna sehemu niliyowataka watu wahudhurie kanisani lakini pia wew ndio ambaye hufahamu dini mimi kwa dini yangu naamini nitaenda mbinguni kwa maana biblia imesema ukimkiri yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako utapata uzima napia yesu ndio njia ya uzima ndo maana akasema hata tukifa lakini tutaishi
 
kwani majini kusilm nijambo baya? wehujui uliza majini wametahajwa zaid yamara 20kweny bible malaika wameelkza dawa zakupnga mappo tibiti6:1-8 na 8;1-3.mambo yaramli ymetajwa samwel1sura28aya ya3-20.yesu alielekrza kupnga majini mathayo8;28-34.namathayo17:14-21..majini pia walmwamin yesu soma marko3;11.pia walitii wanafunzi kwajina la yesu luka10:17.paulo pia alipeleka wanafunzi wakekwashetani wafundishwe wasimtukane mungu timotheo wakwnza1:18-20.hao majn niviumbe na tunaish ktk ulimwngu mmoja kwamujbu wavtbu vyte ndomna ktk biblia walaw17:1-7 MAJNI WALZNI NA WANAISRAEL SO WAO KUAMIN NIHAKI YAO NDOMANA KUNA MAJINI KILA DINI KILA KABILA NAHAYO YMESEMWA NABIBLE HATA KABLA MUHAMMAD HAJZALIWA IKIWA WACHAW WALIAMIN MFNO SIMON SOMA MITUME8:9-11.NAHATA MAPEPO WALITII VP KWNYE QURAN IONEKANE NDO AJBU NA MTAMBUE UISLAM NDODINI ILIPINGA VIKALI USHIRIKINA KULKO DN NYNGNE YYTE aya ya3 ktk sura yatano na aya yatisini ktk sura hiyohiyo mwmungu amesema wazi.quran haiusiki na uganga wala kupunga imesemwa wazi sura ya6 aya112.tujitahidini tusome tusifate mkumbo kmakuna mtu anahitaj ufafanuzi zaid anitfte mana naandka kifup sabbu nnamambo mngi yananizonga nakwakua kuna vitabu vingi nshaandika kuhusu haya mambo sioni sabbu yakujaza jukwaa mtuakitaka hoja avitafute then ataelewa vzuri

Naomba niweke vitu sawa. Kwanza ujue juna tofauti ya kuvitaja vitu na kushirikiana navyo. Uislam unasema kabisa kuwa majini wapo wema na wabaya, lakini Ukristo unasema wazi wazi kuwa majini na malaika walio hasi, hakuna mwema hata. Pia imekataza kupunga pepo na kushirikiana nayo. Kukatazwa kwa uchawi Bible imekataza kweupe kabisa, kuwa wachawi hawato huona ufalme wa MUngu, na hata zaman ya agano la kale wachawi walikuwa wakiuliwa kwa moto. Lakini baadhi ya vitabu vya dini hutumika na wachawi na waganga, kumbuka hivi. Biblia ikiwa mikononi mwa asiye amini inakuwa ni kitabu tu kama kitabu kingine, lakini neno la kwenye biblia likitoka kwa anae amini, ni MOTO,UPANGA, NI NENO LA MUNGU Kabisa so usije sema mbona waganga wanazo bible utakuwa umepata jibu, hakuna anae tumia bible ku rise au kuamsha roho za mauti au kutuma uchawi, lakini baadhi ya vitabu hutumika. Mungu amesema kupitia watumishi wake kuwa, Kisasi juu ya bwana, so huwezi tumia maneno ya kufanyia kisasi, kama umeweza tumia jua, hayo maandiko si Mungu.

Twende katika maandiko uliyo nukuu, kumbuka bible sio kama hadithi za baadhi ya vitabu inahitaji uelewa na ufunuo wa Mungu, tuanza na hili

paulo pia alipeleka wanafunzi wakekwashetani wafundishwe wasimtukane mungu timotheo wakwnza1:18-20.
"
18 uwe mwenye imani na dhamiri njema, ambayo wengine wameisukumia mbali, wakaangamia kwa habari ya Imani.

19 Katika hao wamo Himenayo na Iskanda, ambao nimempa Shetani watu hao, ili wafundishwe wasimtukane Mungu.

20 Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; "
HAPO PAULO AKUPELEKA WANAFUNZI WAKE KWA SHETANI KAMA ULIVYOSEMA, HAPO WAMEPELEKWA WALE AMBAO WAMEITUMA IMANI NA DHAMIRI NJEMA, Maana ni automaticaly ukikataa kuubeba mzigo wa Mungu utaubeba wa shetani na utaona balaaa lake utajifunza, HUWEZI KUWA NEUTRAL.

Twende kwenye andiko lingine sasa, majini pia walmwamin yesu soma marko3;11.

Hapa unataka onyesha kuwa kuna majini ambao humfata Yesu, huongo wew huelewi hebu tusome mstari huo

"11 Na watu waliokuwa wamepagawa na pepo wachafu walipomwona, walijitupa chini mbele yake na kupaaza sauti, "Wewe ni Mwana wa Mungu!" 12 Lakini Yesu akawaamuru kwa ukali wasimjulishe kwa watu."
Hapa hakuonyeshi majini walimuani Yesu bali walitii mamlaka yake, walitii nguvu zake maana hazipimiki na ndio maana hawakuweza kustahimili na kujikuta wakimsujudia KING. Kumbuka bible ilisema kila goti litapigwa nadhani umeona sample hapo eeh.

Bible sio kama hadithi zileee, hapana inataka ufahamu haswa wa kimungu kutoka kwa Mungu otherwise utafumbwa akili na Shetani uelewi tofautia au usielewe. Karibu katika ulimwengu na imani sahihi, Jesus ni yote
 
Naamini kuna shetani ila mlicho andika humu na merengo90 ni Riwaya tu.
Mngenibadili mtazamo na msimano wangu kama mngeni onyesha how exactly u guys proved the existance of these things u say.

Take Note:

Mimi ni Mkristo hai (swala 5 daily). Nina amini kuna Mungu muweza ya yote. Naku challenge tu ulicho andika humu.

tatzio wew wataka sikia kuwa mimi nilikuwa mchawi au mganga....? anyway lets skip that part.

kama wew ni mkristo mkuu, chalenge upande wa pili wa shilingi
 
Back
Top Bottom