Recent content by tupa kule

  1. tupa kule

    JamiiForums Tanzania Swali: Ni kweli wanaume mkisimamisha mnaumia?

    Janja tuu ili tupate papuchiii
  2. tupa kule

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utaratibu wa kutoka Private school kwenda Government school

    Hyo haiwezekan mkuu, pambana nae huko huko kwan mfumo haukubal hapo, huwez kumtoa mtoto private ukampeleka serikalin ila una uwezo wa kumtoa serikalin kwenda private. Ingekuwa yupo primary mfumo unakubal kote kote
  3. tupa kule

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria na kuolewa ili aweze kuendelea kuishi mjini

    Wanaume tunapitia mengi sana
  4. tupa kule

    JamiiForums Tanzania Mke wa AY ni mzuri kuliko wanawake wote Tanzania; yule ni Cleopatra

    Madem wazur wapo weng sana hapa tz kuliko unavyofikiria ww. Sema tu sio wote wanapost kweny mitandao na wengne wazur sana sema hali za kiuchumi zimebana
  5. tupa kule

    JamiiForums Tanzania Akaunti fake ilivyorudisha mahusiano yangu na mpenzi wangu kwa haraka sana

    Hizo mambo Mm nimefanya Sana Kama kwa mademu watatu ni story ndefu Sana na watu wengine wanaweza hisi ni uongo bt hivi vitu vipooo, in short kuna mdada nafanya naye kaz staff moja sio mzur Sana Ila ni mapepe Sana na story Zake anajifanya mataw ya Juu Sana.Siku moja nikafungue account fake fb...
  6. tupa kule

    JamiiForums Tanzania Wadaiwa mikopo tuishitaki HESLB

    Kiukwel tumekuwa mazezeta sana sisi watz, ni waoga kupitiliza na tunasubir MTU mwingnne azungumzie matatizo yetu ili hali sisi wenyewe tumekaa kimyaaaa tunalalamika chini chini eti serikal haitundendei haki, ndio acha ifanye hivyo coz inajua watu wake no waoga na dhaifu. JAMBO LA MSINGI HAPA...
  7. tupa kule

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda sana mwanamke mwenye imani(dini) tofauti nami.

    Mwanamke anakuzid akil ww mwanaume Kwel mpaka unakuja Hapa kuomba ushaur??
  8. tupa kule

    JamiiForums Tanzania Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Nimemaliza kusoma toka sehem ya Kwanzaa mpaka Hapa ilipofikia
  9. tupa kule

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane Wachagga waliowahi kusakata kabumbu kwa kiwango cha ligi kuu bara

    Wachaga kweny uchezaji wa Mpira Ni ngumu kuwapata, kuna story niliwah kusikia Etiiii zaman Wachaga walikuwa wanacheza sana Mpira. Siku moja wakawa wanacheza na Timu kubwa Kwel sasa masawe akawa amewapiga chenga walinzi wa Timu pinzani jamaa akabaki na kipa peke yake, kuchek jukwaaan akaona nyomi...
  10. tupa kule

    JamiiForums Tanzania Wakili Albert Msando na Zitto Kabwe wajibizana kuhusu mafao ya wastaafu kukatwa kodi

    Hata iwe vipi bdo sheria hii itawaathir Sana wafanyakaz imagine unakatwa kodi kweny mshahara then tena uje ukatwe kweny mafao yako
  11. tupa kule

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ____________________________
  12. tupa kule

    JamiiForums Tanzania Hapa ndo mapenzi yanapokuwa magumu, mchumba wangu jamaa zangu 3 walishawahi kutoka naye

    No body perfect Mkuu, kila utakayekutana lazma tu atakuwa na mapungufu yake. Unaweza tafuta mwngne yy ndo akawa kimeo zaid ya huyo as long as ni mambo yaliyopita mm sion tatizo.
  13. tupa kule

    JamiiForums Tanzania Mafanikio Ya Diamond ni Dalili ya Kifo

    Mtoa mada aiseee umekurupuka tu subir tuone
Back
Top Bottom