Wanaume wapunguze kua busy mkuu hizi kesi ndogo ndogo hazitakuepo,
Mwingine anahamishia na kazi za ofisini nyumbani kabisaa, amefanya kazi more than 8 hrs huko ofisini then anakuja na home package tena,!!!
Halafu mkisaidiwa majukumu mnalalamika,
NB: siyo wanaume wote wake zao wana sababu za...