Naombeni ushauri mpenzi wangu amepotea hewani

Okay,, ulimwambia lakini kua hukua na pesa wakati huo?

Inawezekana hukumtaarifu so mwenzio kaamua kununa kimya kimya mkuu,
Nilimwambia kbisa na akanielewa maana siku 4 nyuma pia kuna pesa nilimpa ya kujikimu. Ila ndio ivyo.....
 
unataka mpaka Yesu aje akwambie hutakiwi ndo uelewe ?

tambua kama hana muda na wewe ujuwe kuna mtu ana muda nae

labda kafungua tawi jipya kwa shangazi
Ndio hivyo mkuu,jamaa ni mzito sana kujiongeza anaonyeshwa lugha ya picha kuwa hatakiwi yeye haelewi anakuja kuanzisha uzi hapa.
Kiufupi huyo demu hakutaki ila anakulia timing tu akulie hela zako halafu mwisho wa siku ukigundua analiwa na mwingine na ukaumia moyo shauri yako yeye hawazi.
 
Ivi nyie viben ten ni lini mtakubali kutafuta ela muwe nayo nyingi ya kuwanunulia simu wanapolalamika simu mbovu? Sio siri mnakela sana ebu katafute ela akisema simu mbovu nunua smartphone mpelekee uone kama atapata kiburi cha kupotea hewani
 
mzee tafuta pesa.

pili tofautisha mapenzi na matamanio.
unasema mwanzo mlipendana sana sio kweli? wewe ulitamani mwili mwenzako alitamani pesa upendo unachukua muda sana kutengenezwa mwezi moja hautoshi kusema mnapendana sana
 
Shukrani, nimekuelewa
 
😂😂😂😂 Nimekuelewa shukrani
 
mzee tafuta pesa.

pili tofautisha mapenzi na matamanio.
unasema mwanzo mlipendana sana sio kweli? wewe ulitamani mwili mwenzako alitamani pesa upendo unachukua muda sana kutengenezwa mwezi moja hautoshi kusema mnapendana sana
Nimekupata mkuu 💪💪
 
Back
Top Bottom