John mungo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 1,008
- 1,029
Kurudia thread nayo ni ushamba.
Kupiga picha na ma superstar
kupiga picha na kutuonyesha makalio, hasa yale yaliyo bonyea bonyea (yana manundu)Kwa mtazamo wangu hizi ndio picha za kishamba:
1. Kupiga picha umeshika soda
2. Kupiga picha ndani ya gari, malango wazi, umeshikilia sterling, na unamuangalia mpiga picha.
3. Kupiga picha umesimama kando ya TV
4.....endelezeni
Uko wapi tata nyarusare kuna mtu anakutafuta huku! Ni siku nyingi kirkuu zimepiga mzigo mpaka hasara sioni kwakoKukaa tu siku tatu mfululizo, bila kusoma uzi wa tata nyarusare
Weee ulisikia wapi?😆😆😆😆😆😆Kwa mtazamo wangu hizi ndio picha za kishamba:
1. Kupiga picha umeshika soda
2. Kupiga picha ndani ya gari, malango wazi, umeshikilia sterling, na unamuangalia mpiga picha.
3. Kupiga picha umesimama kando ya TV
4.....endelezeni
Napo ni ushamba mtupu,Kupiga picha ndani la lifti vp iyo


