Chapa lapa. Wako wengi sana.
Uhangaikie pesa uhangaikie na mtu.
[/QUOTE
Asante Kwa ushauri
Shukrani bro, Kwa ushauri😂 😂 Wewe week moja tu? Mimi niliagwa anaenda Tanga kumsaidia shangazi yake na ujauzito ni mwaka wa tatu huu bado hajafika na wala hajulikani alipo pia text whatsapp zinagongwa blueticks tu. Move on bruh
Punguza kulazimisha Penzi
😂😂😂 Kweli. Pamoja mkuuunataka mpaka Yesu aje akwambie hutakiwi ndo uelewe ?
tambua kama hana muda na wewe ujuwe kuna mtu ana muda nae
labda kafungua tawi jipya kwa shangazi
Hatari , 🛠️🛠️🛠️Spana
Ngoja kwanza mkuuNipe namba yake nim- trace hadi aliko
Hahahahaha dah! Comment murua kabisa hii haifai kuisha bila kupewa Likes za kutisha!Chapa lapa. Wako wengi sana.
Uhangaikie pesa uhangaikie na mtu.
Hahahahhahaah Wajuba mnatisha kama......Wewe Huyo achana nae haraka sana, ati Siku 4 bila mawasiliano? Kwani huko kwa Shangazi yake aliko nenda cha wana simu aazime akujulishe kinachoendelea?
Yupo kwa Shangazi yake ( Mme mwenzio), shenzi zake asizibie wenzie nafasi, embu Fanya kumpigia ireen yule ulomwombaga no, lakini roho ulikuwa inakusuta kumsalit mpenzi wako.
Trust me mpenzi wako yupo kwa mpenzi wake.
Duh, pole Kiongozi haya mambo n wengi yametukumba ila maisha lazima yaendelee 💪💪Hayo yalinikutaga kwa Joan. Sitasahau alinisumbua sana. But now niko fresh. Nilionana naye last week Mlimani city akanambia ni utoto ndio ulikuwa unamsumbua.
Wewe Huyo achana nae haraka sana, ati Siku 4 bila mawasiliano? Kwani huko kwa Shangazi yake aliko nenda cha wana simu aazime akujulishe kinachoendelea?
Yupo kwa Shangazi yake ( Mme mwenzio), shenzi zake asizibie wenzie nafasi, embu Fanya kumpigia ireen yule ulomwombaga no, lakini roho ulikuwa inakusuta kumsalit mpenzi wako.
Trust me mpenzi wako yupo kwa mpenzi wake.
Dah! Mapenz ya sasa magumu sana wakuuSikutuma Kwa kua sikuwa nayo kpnd ameniombaKwani pesa ya kioo cha cm ulituma mkuu? Sasa cm itatengamaa vp??
Jiongeze boss!
Simu mbovu ameshakwambia hukumtengenezea....sasa kama kuna jamaa mwingine kamtengenezea atakuwa amekublock au amebaili namba kabisa ...kwa hiyo hapo kuwa mpole hauna chako
[/QUOTE
Nami nahic ivyo japo sitaki kujiridhisha 100%. Acha nianze kuzoea Maisha mapya hakuna namna
hata mi huwa nasema humu.singo mama mnawakataa mnaoa wasio na watoto siku mkipata watoto wa5 wote sio wako.mimi sichoki kuwakumbusha kila siku jaman single mothers hatunaga hayo mambo ooh hoo
😂😂😂😂 hapo mapinduzi lazimahata mi huwa nasema humu.singo mama mnawakataa mnaoa wasio na watoto siku mkipata watoto wa5 wote sio wako.