Nilimwambia nakuona wewe ni mke wangu mtarajiwa, akanijibu eti anajua huwa tunataniana

Ww ni Mtoto sana kwenye mapenzi. Haujui waDada hawapendi hivyo unavyofanya? Kujipendekeza kila siku. Na huyo LAZIMA ATAKUUMIZA TU. Sasa is too late kubadilisha mfumo. Ulishaanza vibaya. Ataolewa na mwingine. Au atapigwa mimba na mwingine. Yani ww atakulia tu hela yako if anything.
Katika zoote hii ndio FACT sasa.Ashikilie hapa ndio penye ukwel
 
Yuko desperate. WaDada hawapendi mwanaume anajikosha kila siku ivyo. Wanapenda chasing game. Na hata sisi wanaume tuko ivyo ivyo. Mambo ya love sio sawa na kupambania kitu kingine maishani. Ni game tofauti kabisa
Kabisa mkuu, ndo mambo yanakuwa unayempenda hakupendi hahahha...Kila ukikaza kumbembeleza, yeye anakuwa anakuona unamchosha wakati kuna msela mwingine yeye ndo anabembelezwa...Noma sana.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Kijana wa kiume hapropose wewe acha hizo mambo!!
Kuanzia sasa usizungumzie ni kiasi gani unampenda na usinwambie mambo ya ndoa unafeli...kuna umri Mwanamke na ndoa ni maadui na kuna umri wanaikimbilia ndoa...
Wewe fanya kudate nae for fun not for a future!! Acha hiyo future aizungumzie yeye.

Kama mzigo anatoa wewe ukimhitaji andaa mazingira tuu aje ujimegee .

Story zako zisiwe ni how much unampenda and how much unamuona wife mbeleni KAUSHA.

Piga stori za namna ya wewe kujijenga kimaisha hata bila yeye uje ulete mrejesho hapa.
 
Nina mdada ambaye nimetokea kumpenda sana kiukweli huyu dada nampenda sio kidogo

Nimekua nikimwambia mara kwa mara lakini yeye anachukulia kama mzaha wakati mwingine anakua kama anaeleweka wakati mwingine ananichukulia kama rafiki yake sielewi elewi mimi

Nimeshiriki nae tendo mara 2 but tatizo hata tukiwa tunachat huniita rafiki yake, hali hii mimi inanichanganya kwanini tumesha hadi sex nimeshamwambia hisia zangu zote na anaona kabisa nampenda but anapenda kuniita rafiki?

Na hajawahi kunipa jibu la kuwa yuko tayari kua nami maishani

Nilimwambia nakuona wewe ni mke wangu mtarajiwa, akanijibu eti anajua huwa tunataniana kumbe niko serious?

Nikamwambia mi sitanii nakupenda kweli nahitaji kuwa nawe maishani akanambia ni mtazamo wako

Dah nachoka mimi simuelewi au itakua hana shida na mimi
Mkuu unakiba100?
 
Bikra ulimkuta nayo?
 
Hajataka kujiachia kwako huyo kwa kuepuka kuumizwa huenda anakupenda ila anazuia kujiachia akihisi wewe ni km wengine waliowahi kumcheat.
 
km unampenda peleka kwao posa ili akuamini. hiyo janja janja utakuta mwana si wako.wewe subiri mpk akiolewa uje utulalamikie tena hapa.
 
Kabisa mkuu, ndo mambo yanakuwa unayempenda hakupendi hahahha...Kila ukikaza kumbembeleza, yeye anakuwa anakuona unamchosha wakati kuna msela mwingine yeye ndo anabembelezwa...Noma sana.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Mambo ya mapenzi yana upumbavu sana ndani yake 😅!

Ulipokufa ukaoza pale ndipo ambapo huitajiki kabisa yani😅unaonekana unafosi mambo! Ila kule ambako huwazii ndio dah mwenzio anateketea moyoni!
 
Back
Top Bottom