Recent content by tugha

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ivi kwa nini wadada wengi wenye degree huwa wanaishia kuolewa na wanajeshi/mapolisi?

    Kwasababu soldiers wako na nguvu wanajiamin sana and wanawake wengi tunapenda kuwa safe ndo mana,personally namdate mjeda na cjaona tatizo mpaka sasa
  2. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kupangisha nyumba, Huwezi ukala faida wewe unayejenga

    Jenga lodge au hotel au guest house inalipa
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna gani ya kumwambia mchumba /rafiki kapika vibaya bila kumuumiza

    Kupika wito aisee coz kuna mtu mwingine bonge la sister duu akipika ugali utaishia kucheka tu ila ni aibu msichana kutokujua kupika
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania makovu mwilini

    Mimi ninakovu mguuni niliungua nilitoka kwa jirani kuokoa moto asa ile nimeweka kwenye kuni nataka niiname nipulize kumbe nikapiga goti kwenye kibati cha moto duuh niliungua week nzima sikwenda shule enzi hizo darasa la nne
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nimekumiss Marangu Mtoni...!!!!

    Umenikumbusha gulio marangu mtoni those days
  6. T

    JamiiForums Tanzania 0716110753 Mmiliki wa hii namba ni JAMBAZI/ TAPELI

    Mwenyewe alinitumia sms km hiyo huyo gabriel eti nimtumie efu 15 nikasema anikopeshe tu nikipata kazi nitamlipa
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni haki mpenzi/mke wako kukusalimia shikamoo?!

    Its sound romantic kumsalimia mpenzi aiser
  8. T

    JamiiForums Tanzania RPC Mungi: Jamani pesa yenu iliyoibiwa hii hapa

    Salute police iringa wangeamua wangezichukua zote lakini wamerudisha hizo pesa,big up police
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana kualikwa kwa mageto ya boys, take care utagegedwa kwa nguvu

    Tumepata message mtu akiniambia naomba nionane na ww unaweza kuja kwangu ninamaongez nitakuwa nasema tukutanie pale kanisani nje kuna majani mazur ya kukaa
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninampenda sana lakini najilazimisha kumsahau

    True love doesn't count,na hautokaa umsahau coz unampenda sana na unafeel guilty kumuacha na saiz unaona bora yule wa elimu ndogo ungeweza kumcontrol kuliko wa elimu kubwa anakucontrol
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ni kweli pesa hainunui kila kitu!

    Ni kweli kabisa pesa inaweza kununua vitu vingi ila sio furaha aisee na matajir wengi they are stressed ndo mana wengine wanaishia kunywa pombe sana au kutumia drugs ili mradi tu ease up the stress level
  12. T

    JamiiForums Tanzania Pic: A first Tanzanian judge sworn in as international reserve judge in Cambodia (ICC)

    Eti kikwete angemchagua muislam that is b...shit,kwann watu kila kitu mnahusisha na udini?badilikeni mnabore
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda mwanaume ila naogopa kumwambia nifanyeje

    Hauwez kumwambia direct ila chukua namba yake ya cm hata kwa mtu wa karibu yake then umpigie umuulizie kitu chochote cha mtaani kwenu,wanaume ni wepesi kunotice so atajua tu
  14. T

    JamiiForums Tanzania Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

    Struggle to change the future and not the past coz past is already gone and not coming back hata wakisema waandike vitabu upya wawa recognise na waislam hamna mtu atakaesoma na kila mtu ataona its fake why now mlikuwa wapi cku zote,matatizo ni mengi nchi hii na kasoro ktk kila jamii hazikosekani...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Unasemaje neno nakupenda kwa kilugha cha kwenu?

    Ngughanile nyakyusa
Back
Top Bottom