Recent content by Tufu

  1. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi, Kabla ya kuongea na jamii kuweni na maamuzi ya pamoja ili kuepusha kupingana wenyewe

    Hiyo tisa, kumi ni pale hata Bunge la Jamhuri linatunga sheria fulani leo muda kidogo hata utekelezaji wake bado haujaanza wanatuletea mapendekezo ya amendment for article X, section Y. Nyingi tu hizi . Hivyo ndivyo tulivyo unapokosa watu makini ktk uongozi.
  2. T

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Kwenye spidi ya internet, aina ya vifurushi na muda vinapotolewa, T-pesa upatikanaji, coverage ya mtandao na mengine mengi soma kwa wenzangu. Nilidhani mgekwenda hadi vijijini mwisho, ikiwezekana hata mtu akiwa porini , mbungani mtusaidie tusipoteze network.
  3. T

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Huwa nasikitika sana nikiiona TTCL inafanya mambo kama simba mzee. Enzi hizo posta na simu ilikuwa kampuni kubwa sana ikimiliki miundo mbinu ya posta na mawasiliano ya simu. Nilitegemea TTCL awe na ndio namba 1 kwa huduma ya mtandao ulio na kasi zaidi kuliko kampuni yoyote na pia POSTA awe ndio...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwa madaktari tu na wizara ya elimu

    Ku observe ni tofauti na ukiachiwa mtu kwenye meza ya upasuaji. Pia ku butcher ni tofauti na ku dissect kwa uangalifu. Kweli kadava hazina damu ila nilichokuwa namaanisha hapa ni kuwa jasiri wa kuona kadava na kuifanyia kazi. Hao AMO na nurses wanaweza kuwa na uzoefu kwa kuwa wamekaa hospital...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kwa madaktari tu na wizara ya elimu

    Kwanza kuona MTU aliyekufa (cadaver) kisha ukastahimili Taswira na hata kumsogelea na kumshika ni somo tosha. Wengine akiona hivyo tu saa hiyo hiyo anakwenda kuchukua begi. Usinilize anakwenda wapi..... Pili ule uwezo wa kuona damu inamwagika na pia kumkata au dissect japo ni mfu na kuvumilia...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ni ipi official anti-malaria Mseto?

    Kama tafiti ya kisayansi kweli imefanyika na kutengeneza mwongozo inakuweje SP itumike miaka 4 tu iwe haifai, Amodiaquine pia ikae muda mfupi tu nayo ishindwe kutibu, Utafiti gani huo? Who is WHO? Nilipata kusikia (No reference) kuwa kuna mtu alifanya utafiti akagundua Chloroquine haitibu tena...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ni ipi official anti-malaria Mseto?

    Nadhani dawa ya malaria kuwa official au sio official ni siasa. Dawa inayokutibu na kuondoa vimelea vya malaria ndio dawa official kwako. Kwa hiyo inaklazimu ujue dawa ambayo ni tiba kwako.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuzama chumvini kaanza kutapika, kuharisha, yupo hospital

    Papuchi huwa zina mabacteria, fungus, virus hata minyoo. Ukipenda sana huko utaondoka na kansa ya koo kama mwana senema fulani. Huyo ndg atakuwa alipata infection ya bacteria au virus. Hawa hutoa sumu kali wakati mwingine ndio kupelekea kuhara na magonjwa mengine yasiyotibika na kansa. Ni hatari...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Shombo za kubenea zimeharibu ndoto ya Lowassa

    Na wewe unafufua na kuendeleza chuki ya Lowassa kwa Kubenea na Mwanahalisi?
  10. T

    JamiiForums Tanzania RC, DCs Morogoro Kazi yenu ni nini? Milima inateketea!

    Kazi ya SUA ni kufundisha, kutafiti, ushauri na huduma kwa jamii , lakini siyo huduma ya kuzima moto mlimani
  11. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuwashwa njia ya haja kubwa

    Tafuta Albendazole haraka. Tatizo watu wazima huwa hawana tabia ya kunywa dawa ya minyoo, If you sleep with itchy anus you will wake up with smelly finger
  12. T

    JamiiForums Tanzania Picha na Habari: Mahujaji 50 kutoka Tanzania wapotea

    Leo imetangazwa wamefikia 4173. Ningependa pia kuona video kama kuna mtu alichukua tuone ni kweli mkanyagano au kuna kitu kingine---
  13. T

    JamiiForums Tanzania Over 710 people killed, 863 injured outside Mecca in Hajj crush

    Imepanda hadi hapo accoring to BBC labda itaongezeka ngoja tuelekeze sikio Mecca
  14. T

    JamiiForums Tanzania Over 710 people killed, 863 injured outside Mecca in Hajj crush

    Kila mwaka mahujaji kadhaa hufa kwa kukanyagana wanapokuwa Saud Arabia kwa hija. Mwaka huu vifo vya watu 107 vilitokea kwa kuangukiwa na crane wiki chache zilizopita, na leo Alhamisi wengine 717 wamekufa na kuwaacha mamia wakiwa majaruhi kutokana na kukanyagana walipokuwa wakitupia vijiwe...
Back
Top Bottom