remedy50
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 675
- 289
Ni cadaverCadaver ni nini ??
Ni cadaverCadaver ni nini ??
Circular definition.Ni cadaver
Iko midoli (manikins) zenye hadhi kubwa zaidi ya cadaver kwa kujifunzia.Cadaver muhimu utaambiwaje Sternocleidomastoid kimaneno neno tu bila hata ya kuiona.
Theory na practical lazima vifuatane maana anaenda kudeal na maisha ya mtu.
Rooney wa uwanjani ni yule yule Rooney wa TV. Yule aliyemkumbatia Rooney taifa si alianzia kumuona kwenye TV? Kuna midoli inahema, inazungumza, ina damu, ina nerves, muscles, bones, fascia, na organs zooote kabisa ingawa bei yake ni kubwakavulata ni kweli teknolojia inakua, lakini pia mwili wa binadamu haukui sawasawa na technolojia. Miaka nenda rudi uko vilevile (inategemea waamini nini). Hivyo kutumia cadaver ni bora mara 1000 zaidi ya aina yoyote ya technolojia.
Swali la kizushi, ukiwa na uwezo wa kuangalia mpira, utataka ukaone uwanjani au kwenye luninga?
Iko midoli (manikins) zenye hadhi kubwa zaidi ya cadaver kwa kujifunzia.
Clinical Officers na AMO wanafanya upasuaji na kutibu wagonjwa ingawa vyuoni kwao hawakuwa na cadaver. Ukiobserve na Ku assist operations nyingi woga unaondoka. Wale wanaofanyakazi mortuary hawajawahi Ku dissect, wauguzi wanaofanya last office hawajawahi Ku dissect, wanaokata viungo albino hawajawahi Ku dissect cadaver. Cadaver hazina damu zinazomwagika.Kwanza kuona MTU aliyekufa (cadaver) kisha ukastahimili Taswira na hata kumsogelea na kumshika ni somo tosha. Wengine akiona hivyo tu saa hiyo hiyo anakwenda kuchukua begi. Usinilize anakwenda wapi..... Pili ule uwezo wa kuona damu inamwagika na pia kumkata au dissect japo ni mfu na kuvumilia harufu ni somo jingine. Hayo ni ya msingi kabla hata hujaanza kujifunza musculus yoyote . Kwa hiyo vyuo vya udaktari ni lazima kutumia cadaver na ni lazima kuwa na hospitali ya kufundishia. Kinyume na hapo eti tunakwenda na teke-linalokujia mwanafunzi anasoma udaktari kwa kutumia mwanasesele aje kutibu mgonjwa watatuua msije mkawalaumu.
Kwa habari nilizonazo mpaka sasa, hizo artificial cadaver bado ziko hatua ya mwisho kutengenezwa ,bado hazijapitishwa na huko mbele bado wanatumia natural cadaver, pia lengo la kutumia cadaver sio kujifunza upasuaji ...ni kuelewa structure kiujumla ili ikusaidie kwenye anatomy na physiology.Pia kuchana ile kitu inakuintroduce kwenye maisha flani hivi ya ujasiri wa ajabu.. nakumbuka day1 watu walitapika ila mwishoni watu wakawa wanaziegemea wakati wa dissection.Rooney wa uwanjani ni yule yule Rooney wa TV. Yule aliyemkumbatia Rooney taifa si alianzia kumuona kwenye TV? Kuna midoli inahema, inazungumza, ina damu, ina nerves, muscles, bones, fascia, na organs zooote kabisa ingawa bei yake ni kubwa
Zipo? Wanafunzi 300 darasani wanahitaji cadaver ngapi? Kuna vyuo vingapi?Kwa habari nilizonazo mpaka sasa, hizo artificial cadaver bado ziko hatua ya mwisho kutengenezwa ,bado hazijapitishwa na huko mbele bado wanatumia natural cadaver, pia lengo la kutumia cadaver sio kujifunza upasuaji ...ni kuelewa structure kiujumla ili ikusaidie kwenye anatomy na physiology.Pia kuchana ile kitu inakuintroduce kwenye maisha flani hivi ya ujasiri wa ajabu.. nakumbuka day1 watu walitapika ila mwishoni watu wakawa wanaziegemea wakati wa dissection.
Kuhusu hivyo vyuo visivyo na hospitali kiukweli ni changamoto, hospitali ya karibu ni muhimu sana kwa clinical years, undergraduates inabidi ajifunzie kwenye hospitali yenye postgraduates ili wamsaidie kinyume na hapo ni mauzauza tu, ndo maana nashangaa sana UDOM wanapopeleka wanafunzi wao kwenye vihospitali vya wilaya wakati wana hospitali yao pale ina postgraduates.
Nnavyojua KCmc ,Muhas na Bugando wanatumia ~20 kwa kila chuo, hivyo vingine sifahamu, ila ndugu yangu kuhusu midoli nadhani bongo badobado... maana hata hao wanaoitengeneza bado wanatumia naturalZipo? Wanafunzi 300 darasani wanahitaji cadaver ngapi? Kuna vyuo vingapi?
Siku Zisipopatikana wanafunzi watarudishwa nyumbani? Kuna mkakati gani kuhakikisha kuwa hazikosekani?Nnavyojua KCmc ,Muhas na Bugando wanatumia ~20 kwa kila chuo, hivyo vingine sifahamu, ila ndugu yangu kuhusu midoli nadhani bongo badobado... maana hata hao wanaoitengeneza bado wanatumia natural
Clinical Officers na AMO wanafanya upasuaji na kutibu wagonjwa ingawa vyuoni kwao hawakuwa na cadaver. Ukiobserve na Ku assist operations nyingi woga unaondoka. Wale wanaofanyakazi mortuary hawajawahi Ku dissect, wauguzi wanaofanya last office hawajawahi Ku dissect, wanaokata viungo albino hawajawahi Ku dissect cadaver. Cadaver hazina damu zinazomwagika.
Kwa habari nilizonazo mpaka sasa, hizo artificial cadaver bado ziko hatua ya mwisho kutengenezwa ,bado hazijapitishwa na huko mbele bado wanatumia natural cadaver, pia lengo la kutumia cadaver sio kujifunza upasuaji ...ni kuelewa structure kiujumla ili ikusaidie kwenye anatomy na physiology.Pia kuchana ile kitu inakuintroduce kwenye maisha flani hivi ya ujasiri wa ajabu.. nakumbuka day1 watu walitapika ila mwishoni watu wakawa wanaziegemea wakati wa dissection.
Kuhusu hivyo vyuo visivyo na hospitali kiukweli ni changamoto, hospitali ya karibu ni muhimu sana kwa clinical years, undergraduates inabidi ajifunzie kwenye hospitali yenye postgraduates ili wamsaidie kinyume na hapo ni mauzauza tu, ndo maana nashangaa sana UDOM wanapopeleka wanafunzi wao kwenye vihospitali vya wilaya wakati wana hospitali yao pale ina postgraduates.
Shida iko wapi akiwa na costal cartilage ,zaidi ya moja kwenye mbavu zake? Hiyo haijustify vyuo kuhaha huku na kule kufafuta cadaver kwa first years MD, bora kuhaha kumtafutia MMed student. Vinginevyo turudi kule kwa zamani kwa wanafunzi 30 tu kwa darasa.F
Hapana mkuu UDOM hawatumii hospital za wilaya
Wanatumia refferal hospitals
Tumbi na iringa
Unajua tatizo ni moja pale Benjamin bado hakujawa na wagonjwa wengi sana kwahyo bado sio mazingira yakufanya practice..ilaa mpk miaka 2 ijayo mambo yatakuaa mazur sana
Bt cadaver ni muhim sana asee ,unajua ukitumia cadaver unagundua mambo mengi kweny mwil wa binadamu...
Mfano sisi tulidissect cadaver mmoja tunagundua ribs moja ina costal cartilage mbili
Sasa vitu km hv huwez vipata kwenye midoli
Na mambo mengne km hayoo
Rooney wa uwanjani ni yule yule Rooney wa TV. Yule aliyemkumbatia Rooney taifa si alianzia kumuona kwenye TV? Kuna midoli inahema, inazungumza, ina damu, ina nerves, muscles, bones, fascia, na organs zooote kabisa ingawa bei yake ni kubwa