Maalim SEIF ashinde Mara ngapi Zanzibar?!! Kwasababu kila uchaguzi mkuu amekuwa akishinda wazi wazi na kila mtu anaona lakini hakabidhiwi serikali kuiongoza.
Kutokana na ugumu wa maisha unavyowapiga wanadarsalama ninasema tena kwa kujiamini kabisa yakwamba pamoja na hila zote wanazofanya ccm hivi sasa lakini 2020 hawatapata jimbo hata moja ndani ya Dar,hata moja!! TUOMBENI UHAI TU!!
MUMEPORA MAMLAKA YOOTE YA SERIKALI ZA MITAA NA KUPELEKA SERIKALI IKIWEMO VYANZO VYOOTE VYA MAPATO.KAZI AMBAZO ZILIPASWA KUFANYWA NA MEYA MKUU WA MKOA ANAZIFANYA YEYE HALAFU UNAKUJA HAPA UNAULIZIA MABADILIKO??! KWA TAARIFA YENU KAMA LENGO LENU NI KUDHOOFISHA UKAWA BASI MJUE IMEKULA KWENU KWANI...
SIJUI UMEKULA MAHARAGE YA TABORA?! TEH TEH!! POROJO TUPU. HIVI UNAJUA KWAMBA BILA YA UPINZANI HUO AMBAO UNAUKANDIA USINGELISUBUTA HATA KUANDIKA HIZI POROJO ZAKO?! NYANG'AU MKUBWA WE!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.