Kwani NEC imeshatangaza kuanza chaguzi za 2020?

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,017
Reaction score
51,149
Nauliza hivi kutokana na aina ya siasa ambazo vyama vya upinzani vimekua vikiziendesha, ni kama vile uchaguzi mkuu umeshatangazwa na utaanza kesho!

Hakuna siasa za kuelekezana kwa lengo la kujenga Taifa letu kama wenzetu wanavyofanya baada ya uchaguzi, Bali kuna siasa za kejeli na kujaribu kuoneshana nani bora zaidi. Napenda kuziita hizo ni siasa za kishamba!

Uchaguzi unapoisha, mshindi ni mshindi! Tunakwenda kujenga nchi. Inavyoonekana wenzetu wao lengo la kwanza mpaka kiama ni kushika dola tuuu! Sidhani kama wameacha nafasi ya kufikiria maendeleo ya wengine zaidi ya kushika dola tu. Utawajua kwakua they don't offer solutions but critics only!

Inabidi tuulizane nchi hii kama chaguzi ni milele na muda wa kujenga nchi haupo! Au nchi itaanza kujengwa au kuonekana kujengwa pale upinzani watakapotimiza lengo lao la kushika dola?
 
1475085069892.jpg
 
Mwambie magufuli aachane na kuwafatilia wapinzani yeye afanye maendeleo sio kila siku kusumbuana na wapinzani
Mara oo anatamani mitandao ya kijamii ifungwe sasa kwa nn tusimpinge kama kashindwa urais arudi kwao chato
Kila siku analeta visingizio alafu anasingizia wapinzani kwan wapinzani ndo wanaoongoza nchi
Acheni ujinga ujinga
Nyie ndo mnaacha kujenga nchi mna anza kuleta vijembe kwa ukawa
Mara anasema hakuna mkutano
Mara bunge hakuna
Mara adhibiti media
Ukama kashindwa arudi kwao chato bwana
Maswala ya kukurupuka alafu anabaki kulaumu wapinzani ni ujinga
 
Paragraph yako ya mwisho ndio jawabu ya porojo lako looote.NAAAM KABISA MPAKA WAPINZANI WAKAMATE NCHI NDIO MAENDELEO YAANZE KUONEKANA.
 
Uncle Magu atosha Upinzani wa nini
 
Aliye chochea hiyo vita ni Raisi mwenyewe, kwa sababu hataki uhuru wa kutoa MAWAZO wananchi wake. Sasa hayo ndio matokeo yake
 
Nauliza hivi kutokana na aina ya siasa ambazo vyama vya upinzani vimekua vikiziendesha, ni kama vile uchaguzi mkuu umeshatangazwa na utaanza kesho!

Hakuna siasa za kuelekezana kwa lengo la kujenga Taifa letu kama wenzetu wanavyofanya baada ya uchaguzi, Bali kuna siasa za kejeli na kujaribu kuoneshana nani bora zaidi. Napenda kuziita hizo ni siasa za kishamba!

Uchaguzi unapoisha, mshindi ni mshindi! Tunakwenda kujenga nchi. Inavyoonekana wenzetu wao lengo la kwanza mpaka kiama ni kushika dola tuuu! Sidhani kama wameacha nafasi ya kufikiria maendeleo ya wengine zaidi ya kushika dola tu. Utawajua kwakua they don't offer solutions but critics only!

Inabidi tuulizane nchi hii kama chaguzi ni milele na muda wa kujenga nchi haupo! Au nchi itaanza kujengwa au kuonekana kujengwa pale upinzani watakapotimiza lengo lao la kushika dola?

Kwani nani kakataza chama tawala kisijenge nchi? Ndege zimeletwa, standard gauge rail inajengwa, what else do you want. Na wewe unatumia jeshi ili ushike dola usipokonywe na propaganda za wapinzani. Hivyo kila mmoja is constantly doing siasa
 
Mwambie magufuli aachane na kuwafatilia wapinzani yeye afanye maendeleo sio kila siku kusumbuana na wapinzani
Mara oo anatamani mitandao ya kijamii ifungwe sasa kwa nn tusimpinge kama kashindwa urais arudi kwao chato
Kila siku analeta visingizio alafu anasingizia wapinzani kwan wapinzani ndo wanaoongoza nchi
Acheni ujinga ujinga
Nyie ndo mnaacha kujenga nchi mna anza kuleta vijembe kwa ukawa
Mara anasema hakuna mkutano
Mara bunge hakuna
Mara adhibiti media
Ukama kashindwa arudi kwao chato bwana
Maswala ya kukurupuka alafu anabaki kulaumu wapinzani ni ujinga

Kumkashifu rais, kuwa macho mpendwa
 
Paragraph yako ya mwisho ndio jawabu ya porojo lako looote.NAAAM KABISA MPAKA WAPINZANI WAKAMATE NCHI NDIO MAENDELEO YAANZE KUONEKANA.
Siasa za kishamba!
 
Sasa tutaelekezana vipi ilhali upinzani mnauchukulia ni uadui na hakuna jema lolote mnalonufaika nalo kutoka upinzani? twende tu hivi hivi kimkandamkanda tutatoboa tu
 
Hivi?inawezekana vipi mawazo ya watu wooote kwenye nchi yawe sawa au wakubaliane na wewe kwa kila jambo?kuna msemo unasema ukiona watu wawili wanakubaliana kwa kila jambo basi inawezekana mmoja wao ni mwendawazimu au wote ni wendawazimu,maana kama hata mitume wa MUNGU walipingwa iweje binadamu tu utake watu wooote wakupongeze kwa kila jambo unalolifanya?HAIWEZEKANI KAMWE,halafu siasa haiishii uchaguzi ukiisha na tumeona siasa za ubaguzi zilivyofanywa kwa teuzi za makada wa chama tu halafu mnataka watu wawapigie makofi?ZAMA ZIMEBADILIKA SANA.
 
Back
Top Bottom