Nini kimesababisha CHADEMA wajitenge na UKAWA?

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,372
Wadau, amani iwe kwenu.

Si siri tena kuwa UKAWA umevunjika. Vipo viashiria vingi vinavyoelezea kuwa umoja huo haupo tena na kila chama kinaenda kivyake.

  1. Hakujawahi kufanyika kikao cha UKAWA tangu Julai 2015
  2. Viongozi wa UKAWA hawajitokezi mbele ya waandishi wa habari kueleza mambo kadhaa ya kisiasa na kijamii.
  3. CHADEMA wametangaza Opersheni UKUTA bila ya kuwashirikisha vyama vingine washirika wa UKAWA.
  4. CHADEMA wamepeleka wazee wao Dodoma kusimamia wabunge wao ili muswada wa vyombo vya habari usipite bila ya uwepo wa Wazee wa vyama washirika wa UKAWA.
  5. Vikao vya pamoja vya wabunge wa UKAWA sasa havifanyiki tena bali vikao vya wabunge wa CHADEMA.
Kwa ujumla yapo mengi sana. Nimeweka haya tu kwa lengo la kukoleza mjadala.
 
Ukawa wamebaki na chadema Huku msemaji akiwa ni Mbatia Halafu Lengo ni kuitoa au kuifuta cuf kwenye ramani ya siasa Tanzania ghafla mtu mwenye uwezo MKUBWA ambaye pia Cv yake waliobaki ukawa Hata robo hawaijui na ni Pekee aliyeitwa kujadili kinachoitwa na wanoijiita Wataalam ku-stabilize Anguko la uchumi wa marekani si mwingine ni Profesa wa uchumi ndugu Ibrahim lipumba kukinusuru hapo ndipo...... Jamani nitamalizia baadae nikiruhusiwa na lizaboni
 
CUF na NCCR tayari vimeshakufa, hilo halina mjadala,swali ni je wafuasi wao wote watakwenda CHADEMA kama ambavyo CHADEMA wanajidanganya
 
-->>KALAGHA BAO,"UKAWA" IMARA HAIFI NG'O,NI MWENDO WA KUJIPANGA KWA UMAKINI ZAIDI.
N.B./
UKAWA SIO CHAMA,NI MUUNGANIKO WA HIYARI TU,HIVYO HAUNA MIKUTANO YA KILAZIMA.
•NJOZI ZENU HAZIWEZI FAULU NGO PAMOJA NA JIDUDE LENU MLILOLITEGESHA CUF.
 
images-84.jpeg
 
Si siri tena kuwa UKAWA umevunjika. Vipo viashiria vingi vinavyoelezea kuwa umoja huo haupo tena na kila chama kinaenda kivyake.
Serukamba amewasha moto bungeni, serikali inahaha kutafuta majibu. Hali si shwari Lumumba maana wabunge wa CCM wameshaichoka serikali yao!
 
Lizaboni umechuja sana maana kila saa kila dakika ni wewe na chadema na UKAWA. Masele kawaumbua leo bungeni, hio ndio story iliyopo, inayohit na jana ni Jenista kuzomewa na wabunge wa CCM. You better keep quiet Madame
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Si siri tena kuwa UKAWA umevunjika. Vipo viashiria vingi vinavyoelezea kuwa umoja huo haupo tena na kila chama kinaenda kivyake.

  1. Hakujawahi kufanyika kikao cha UKAWA tangu Julai 2015
  2. Viongozi wa UKAWA hawajitokezi mbele ya waandishi wa habari kueleza mambo kadhaa ya kisiasa na kijamii.
  3. CHADEMA wametangaza Opersheni UKUTA bila ya kuwashirikisha vyama vingine washirika wa UKAWA.
  4. CHADEMA wamepeleka wazee wao Dodoma kusimamia wabunge wao ili muswada wa vyombo vya habari usipite bila ya uwepo wa Wazee wa vyama washirika wa UKAWA.
  5. Vikao vya pamoja vya wabunge wa UKAWA sasa havifanyiki tena bali vikao vya wabunge wa CHADEMA.
Kwa ujumla yapo mengi sana. Nimeweka haya tu kwa lengo la kukoleza mjadala.
huu muda unaoutumiaga kuandika habari za chadema ungeutumia kufanya uenezi kwa chama chako chakavu, ila endelea kuwafanyia uenezi uliotukuka
 
Ongezea hii, hatumuon tena msemaj wa chadema mr. Mbatia akiongelea hata yale acyoyajua khc chadema
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Si siri tena kuwa UKAWA umevunjika. Vipo viashiria vingi vinavyoelezea kuwa umoja huo haupo tena na kila chama kinaenda kivyake.

  1. Hakujawahi kufanyika kikao cha UKAWA tangu Julai 2015
  2. Viongozi wa UKAWA hawajitokezi mbele ya waandishi wa habari kueleza mambo kadhaa ya kisiasa na kijamii.
  3. CHADEMA wametangaza Opersheni UKUTA bila ya kuwashirikisha vyama vingine washirika wa UKAWA.
  4. CHADEMA wamepeleka wazee wao Dodoma kusimamia wabunge wao ili muswada wa vyombo vya habari usipite bila ya uwepo wa Wazee wa vyama washirika wa UKAWA.
  5. Vikao vya pamoja vya wabunge wa UKAWA sasa havifanyiki tena bali vikao vya wabunge wa CHADEMA.
Kwa ujumla yapo mengi sana. Nimeweka haya tu kwa lengo la kukoleza mjadala.
Kwa hiyo kwa akili yako hivyo ndivyo viashiria ulivyoona! Na je hujaona viashiria vya kuumbuka kwa majangili ya tembo huko ccm?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Si siri tena kuwa UKAWA umevunjika. Vipo viashiria vingi vinavyoelezea kuwa umoja huo haupo tena na kila chama kinaenda kivyake.

  1. Hakujawahi kufanyika kikao cha UKAWA tangu Julai 2015
  2. Viongozi wa UKAWA hawajitokezi mbele ya waandishi wa habari kueleza mambo kadhaa ya kisiasa na kijamii.
  3. CHADEMA wametangaza Opersheni UKUTA bila ya kuwashirikisha vyama vingine washirika wa UKAWA.
  4. CHADEMA wamepeleka wazee wao Dodoma kusimamia wabunge wao ili muswada wa vyombo vya habari usipite bila ya uwepo wa Wazee wa vyama washirika wa UKAWA.
  5. Vikao vya pamoja vya wabunge wa UKAWA sasa havifanyiki tena bali vikao vya wabunge wa CHADEMA.
Kwa ujumla yapo mengi sana. Nimeweka haya tu kwa lengo la kukoleza mjadala.
Kuna mbunge eti wa ccm jina amekamatwa na bunduki za kufanyia ujangili...tufafanulie na hili ya ukawa waachie ukawa
 
Back
Top Bottom