Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,666
Huu ndyo muda wa kumuonyesha Magufuli kuwa sio kuwa kila kitu afanye yeye kisa ndye Raisi wa Tanzania. Hata kwenye janga la njaa mnaweza kutoa msaada mkubwa katika maeneo yanayokubwa na njaa.
Kama mliweza kwenda kuwalilia wazungu na kumsemea dictator uchwara, basi fanyeni ivyo ivyo kwenye janga la njaa. Nendeni mkawaombe ao wazungu wawape msaada wa chakula pia. Kama ni kweli wanauchungu na watanzania hawatasita kuwapa misaada.
Pia mnaweza anzisha Harambee ya ndani na nje ya nchi ya kuchangia Pesa au chakula kitakachotumia kuwasaidia wahanga wa janga la njaaa.
Ninauhakika haziwezi kukosa hata tani 300,000 kama wapinzani wakishirikiana na kutafta mbinu mbadala ya kuwasaidia wahanga.
Hii tabia ya kulialia kila kitu kumsukumia Raisi wa nchi muiache. Siasa sio lazima kwenda majukwaani na kupiga porojo tu. Tumieni hii kama fursa ya kufanya siasa safi. Ninaimani leo mkianza mchakato wa kusaidia wahanga wa njaaa lazima bwana yule akili zitamkaa sawa.
Na hii sio kwa wapinzani pekee. Hata viongozi wa dini bado mnanafasi kubwa ya kuwasaidia watanzania wenye njaa. Nanyi pia mnaweza kuanzisha harambee ya kutafta chakula kuwasaidia wenye njaa.
UPDATE :
Haya yamesemwa na Lowassa hivi punde.
"...........Rais amesema hatoi chakula, mimi nimejadiliana na chama changu tumeona tufanye mpango wa kuwatafutia watanzania chakula. Hata kama ni cha kuomba nje ya nchi ninaamini dunia itatusikia..........."Edward LowassaBukoba Mjini, Kagera15 Januari 2017
Nashukuru kwa chadema kusikiliza ushauri wangu. Kabakia Zitto na Lipumba.