Niliwai kutembelea makala moja about rooting..bahati mbaya makala ilijaa maneno magumu ya kiingereza. Na kama unavyojua English hata Magufuli hawez...nilishindwa kuelewa.
Sasa leoo nimeinyaka. Ntafanya iko kitu rooting!! Mkiona sionekani humu ujue imezima.
Na lini ccm mkataka mdahalo bhana,ebu acheni kujichetua. Mnataka kutumia mwanya wa afya ya Mh.Lowassa kubadili mindset za watu. Hiyo haitatokea,kama ilivyowauma wapinzani mwaka 2010 Mheshimiwa wenu alivogoma mdahalo...ngoja iwaume na ninyi mwaka huu.
Watu vijijini hawana maji,hawana...
Mnaoona hiyo ishu ni ndogo ni kwa vile hamjawai nasa...
Siku zote waaminifu kwenye ndoa ndo ukinaswa inakua hivi..
Mimi nakuombea tu,Mungu atakukomboa utakaa sawa.
Kuna Kujua english ya kuongea
Na kujua english ya kufanyia kazi
Magufuli na hata mimi mwenyewe english ya kuflow si ya muhimu,chamuhim ya kufanyia kaz. Nielewe concept,niweze kufanya maamuz...
Watanzania tulko wengi tuna lugha nyingi.
Kwanza lugha ya nyumbani,pili ya kiswahili tatu nijue...
Katika course ambazo unaweza kufikisha G.P.A ya juu ni hizo za science.
Nasema hivyo kwakua hata mimi nilisoma hizo. Walimu wa science hawana longolongo za kujuana. Kwanza wanafunz huwa ni wachache so ni raisi kumfikia lecture kama kuna kitu kinakusumbua...jiamini,achana na maisha ya starehe na...
Naweza kuamini coz mimi ni mwalimu wa Chemistry A level,,kiukweli English hua inanipa tabu asee na wanafunz wangu wanajua lakini natumia mbinu ambazo zinawafanya wanaelewa kuliko hata walimu wanaojua English. Cjajua kwa upande wa Rais,ila itampa shida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.