Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,246
- 34,196
Kiingereza ni lugha rasmi China?
Kwani makufuli yuko china??
Kiingereza ni lugha rasmi China?
Kwani makufuli yuko china??
Naweza kuamini coz mimi ni mwalimu wa Chemistry A level,,kiukweli English hua inanipa tabu asee na wanafunz wangu wanajua lakini natumia mbinu ambazo zinawafanya wanaelewa kuliko hata walimu wanaojua English. Cjajua kwa upande wa Rais,ila itampa shida
sababu hata huo 'uchapakazi' wake kwa kuangalia tu barabara zilivyojengwa sijawahi kuelewa
why amekuwa branded 'mchapakazi'....
Kuna Kujua english ya kuongea
Na kujua english ya kufanyia kazi
Magufuli na hata mimi mwenyewe english ya kuflow si ya muhimu,chamuhim ya kufanyia kaz. Nielewe concept,niweze kufanya maamuz...
Watanzania tulko wengi tuna lugha nyingi.
Kwanza lugha ya nyumbani,pili ya kiswahili tatu nijue english..obviously lazima tuwe poor in speaking english
Maelezo yako siyo sahihi. Jambo la msingi katika ufahamu wa lugha yoyote ni uelewa wa sarufi (grammar) ikiwemo matumizi ya maneno (usage). Sarufi inafundishwa awali kabisa katika mafunzo ya lugha. Katika ufundishaji, uelewa wa sarufi (i.e. ufahamu wa lugha) ni kipimo muhimu cha awali cha uwezo wa kitaaluma wa mwanafunzi. Mwanafunzi anaeshindwa kufikia uelewa wa lugha unaotakiwa baada ya muda wa mafunzo anaangukia katika kundi la wanafunzi dhaifu (slow learners). Mwanadamu wa kawaida ana uwezo wa kujifunza idadi yoyote ya lugha na kuzifahamu kwa ufasaha.
Hiyo ya kuitwa au kuonwa mchapakazi ni matokeo ya viwango vya chini sana tulivyonavyo Watanzania.
Tanzania bado kabisa sijaona barabara yoyote ile iliyojengwa kwa kiwango cha ubora wa juu.
Magufuli ni aibu inayosubiri kutuaibisha tu Watanzania.

Ngabu we tazama vizuri barabara ya bagamoyo ambayo Magufuli alimwita
Kikwete kuifungua...haina taa hata moja..usiku ni hatari tupu
mitaro haijafunikwa...halafu tazama hiyo mitaro utaona manispaa imeshaweka
alama za kubomoa tayari....ni ajabu nchi hii sana....
Hiyo ndo njia yangu kuu.
Kila siku ikiwa naendesha usiku kama natoka pande za Mwenge huwa sikai kwenye lane ya kushoto.
Kwanza nakuwa na hofu ya kudumbukia mtaroni [na kama ujuavyo huwa sielewi kabisa mantiki ya kujenga mamitaro makubwa utadhani mahandaki].
Pili, vituo vya daladala navyo vimejengwa karibu mno na barabara. Wewe mwendesha gari ukifika karibu na kituo huenda ukasimama kuzisubiri daladala zinazoshusha na kupandisha abiria.
Vituo vikiwa karibu sana na barabara ni hatari mno kwa watembea kwa miguu.
Tatu, hata median nayo [ukiachia tu pale eneo la jeshi kuanzia Lugalo huku mpaka njia panda ya Kawe ambako wanajeshi huwa naona wanajitahidi kumwagilia mwagilia maji] imeachwa tu iwe sehemu ya kuhifdhia mchanga na kuzalisha vumbi.
Nne, barabara kubwa kama hiyo haina hata taa moja kuanzia Mwenge mpaka huko Tegeta. Usiku mtu ukiwa unaendesha ni lazima uendeshe kwa umakini mno la sivyo utagoga watu.
Tano, sasa hivi nimeona sijui ndo wanajenga hizo 'feeder roads'....
Manake kwa mfano pale benki NBC Mbezi Beach wameziba ziba zile sehemu za kuingilia na inaonekana kama wanachonga barabara kuelekea kule juu pande za Shamo....
Kwa nini hawakufanya hivyo tokea mwanzo?
Halafu kuna sehemu wangeweza kabisa hata kuweka lanes tatu [kwa makadirio ya kwamba miaka tuseme 10 ijayo idadi ya magari inawea kuongezeka] lakini hawajafanya hivyo!
Ina maana tena baadaye watakuja kuanza kusumbua watu na ujenzi wa lane ya tatu?
Kwa sababu hiyo njia ina watu wengi sana waitumiayo kila siku na nahisi kama vile kila mwaka hao watumiaji huwa wanaongezeka.

Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.
Hiyo ilitokana na kushindwa ngeli na kubaki kukariri tu.Upungufu huu wa exposure kimataifa na lugha ni tatizo na ndio maana watu wasio na uwezo kama akina Makamba wanajitia kimbelembele kama wapiga zomari kwa Magufuli huku wakinyendea nafasi kama washuri wake akibahatika kuwa rais kama shetani atabariki.Mungu yupo upande wa Legwanani the Great.
Hivi kama alikuwa mwalimu alifundisahaje huko? Natafuta wanafunzi wake angalau nipate expreience ya huyu ndugu yetu Magufuli.
==================