Recent content by tsokho

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kupitia video hii Polisi vs CCM, naomba nitoe MAONI yangu

    Na wakome kabisa
  2. T

    JamiiForums Tanzania Lini wanafunzi watapangiwa kidato cha tano awamu ya pili (ii) - 2017

    Walisha chaguliwa Mzee, hususan magirls. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Mpya au used mzee?
  4. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Huo mzigo vipi na niki kupa 280000/=?
  5. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Vip ni mpya ? Au used?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    Kama ni kweli tukio kama hiyo imetokea, na siyo ya mara ya kwanza serikali inabidi ikaimarishe ulinzi ktk maeneo hayo ya matukio ,kiwezekana kambi ya jeshi ifunguliwe maeneo hayo.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Shirika la Umeme Tanzania - TANESCO

    Tanesco ni shirika na ni kampuni isiyo jali wateja wake, na sema hivi kwa dhati kabisa kwa sababu sisi katika laini yetu tangu juzi hakukuwa na umeme kabisa. Tulijaribu kuwapigia simu muda wa usiku saa 22:15 wakatujibu kwa ujumla eti ,mafundi wetu wanakuja na wako njiani,tukamkomalia kikweli...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

    Ni vema sana mnavyo fanya lkn ukweli ukowapi wa kuniridhisha kimaelezo zaidi.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Je Computer yako ina tatizo lolote!! Wasiliana nasi sasa upate ufumbuzi wa tatizo hilo.

    Hivi una hard disc ya 500gb? Km unayo ni sh? Pamoja na kuweka sh? Na window uki+ itakuwa sh?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

    Vpi tz bado haijaingia sokon?
  11. T

    JamiiForums Tanzania TV4Sale BNL Electronics: Smart TVs, LED Tvs for sale!

    Home theatre aina LG ebu toa bei zake, wapi unapatikana?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Je Computer yako ina tatizo lolote!! Wasiliana nasi sasa upate ufumbuzi wa tatizo hilo.

    Mimi ya kwangu ni used aina ya thinkpad series of T61 nikiw asha tu mwanzoni iko vzuri ,lakn baadaya mwezi mmoja ivi ,nilipowasha tu inaniandikia upuuzi mwingi mno ambayo ukirekebisha kulinganana pc inavyotoa nini chakufanya ili iwake ,najaribu kufuata instructions yake but still it display the...
  13. T

    JamiiForums Tanzania MAAJABU mambo 6 ya kufahamu kuhusu sayari ya Venus iliyopo karibu na dunia

    Safi sana kwa kutufahamisha vzr.
Back
Top Bottom