Recent content by tsaqwa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ulinzi

    mkuuu vp kama nina origino certificate fm 4 na fm 6,,, cheti cha kuzaliwa... cheti cha uraia , cha mpiga kura, hapo vp?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ulinzi

    ahsnte sana ndugu...... lazima niende.... lakini vp mkuu hawawezi kuaccept kama hauna living? mfno una orgino fm 6 or fm 4.....result slip... cheti cha kuzaliwa, cha mpiga kura...cheti cha uraia ......
  3. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuandika barua ya kikazi

    mwambie aseh.. coz majitu mengine yanakurupuka na viroba vyao tu bila kuelewa mambo........
  4. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ulinzi

    Habari ya Jumamosi wanaJF Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25, elimu yangu ni kidato cha sita (2012). Natafuta kazi ya ulinzi katika kampuni ya watu binafsi au mashirika ya umma, nipo Karatu Arusha, kwa yeyote anayefahamu naomba anisaidie. NB; Pia kuna mtu amenielekeza...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kikao cha tatu cha UKAWA vimefeli

    Subiri sana ukawa ivunjike
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hebu tumsaidie huyu kijana

    mbuzi kwenye gunia mbona haiwezekan jombaa
  7. T

    JamiiForums Tanzania Umefikia wapi kijana mwenzangu katika suala la ajira tangu umalize shule au chuo?

    ameamua tu tu kukaa bila kazi coz mwl wa sayansi wanahitajika sana.......... kaombe kazi fasta hasa shule ya binafsi then ukipata mtaji kula mwendo
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu na KK security

    Mkuu kama una uzoefu na kampuni hiyo npe detail zao mfn...... mshahara , vigezo vya kujiunga nk
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu na KK security

    Nahitimu chuo mwezi ujao huku nyanda za juu kusini, kutokana na ajira kuwa ngumu hapa bongo, nimefocus kujibana kwenye kampuni moja ya ulinzi ya KK security. Kwa mwenye ufahamu wa kampuni hiyo naomba anijuze.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Napinga wanaotaka waruhusiwe kupiga kura nje ya vituo walivyoandikishwa

    Hilo ni sahihi ila watu wenye sababu maalumu kama wanavyuo hususani wa mwaka wa tatu wanaomaliza chuo wangeangaliwa namna ya kuwasaidia ili wapige kura maana tumejiandikishia vyuoni na wakati wa uchaguzi tutakuwa tumemaliza vyuo.pia wanafunzi wa kidato cha sita watakaokuwa vyuoni kwa wakati huo...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Msaidieni rafiki yangu, maisha magumu

    mkuu kama ana living certificate...... c ajaribu kampuni flani ya ulinzi hapo dar inaitwa kk security ........
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mjadala juu ya taaluma ya ualimu

    cindani.... coz kuna nchi kama uingereza waalimu wanathaminiwa sana...mfano kimaslahi.... pia status zao zipo juu kama ualimu kipindi cha miaka ya 60s-80s hapa tz
  13. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya Ulinzi

    ahsante sana........ntajaribu
  14. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya Ulinzi

    poa jamaangu..... nashukuru sana...... vp kuhusu namna ya kuapply mfono barua, vyeti nk..... vigezo vya kujiunga..... bt kuna jamaa kaniambia kuwa uwe na mafunzo ya mgambo.....kuna ukweli hapo?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya Ulinzi

    jamani natafuta kazi ya ulinzi katika kampuni ya kk security.... kwa anayefahamu vigezo naomba anisaidie...... binafsi nina elimu ya form 6...2012.......npo arusha
Back
Top Bottom