mjukuum
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 5,257
- 2,849
nnae tar.16 ndo anatimiza miezi 6.
Haya mzazi vp wa dada yako ama kaka yako hakuna bint huko???
nnae tar.16 ndo anatimiza miezi 6.
Mkuu Sukari Yenu ulichosema ww mbona ni sawa na ushauri wangu. Unajua watu wanaangalia ile laki 2.5 kwa mwezi wanaiona nyingi sana,lkn km angekuwa anapewa kidogo kidogo km unavyosema ingezidi hata hiyo laki 2.5. Hapo anapewa hiyo apange vizuri matumizi yake yote kwenye hiyo hiyo laki 2.5. Hapo hoja nzito ni hiyo,km hataki kutoa nae atakutwa bikra???Nasema hivi, yeye aendelee kuvumilia na kuhudumia hadi hapo atakapo amua kutoa hiyo papuchi mwenyewe lakini kwa sharti bint akutwe na bikra otherwise na yeye atoe huduma za kawaida tu, kama vocha, kusuka n.k mpaka watakapomaliza kuchunguzana.
Mkuu Aristidi selestin mawazo yako nimeshayatolea ufafanuzi coment number #53 kuna mwenzio alikuwa na hisia km zako. Me sifikirii kuoa mkuu,nimeshaoa tangu 1998.Uskute yamekukuta ww mwnyw af unamsngizia jamaa
Mkuu Jambazi hapo nilipoweka nyekundu ameanza kumpa mwezi uliopita. Km ataendelea,huu utakuwa mwezi wa 2. Wala siyo mtoto wa kigogo ni mjasiriamali tu anayetoka familia masikini kabisaa!!
Wana MMU salaam,
Huyu kijana ni mjasiriamali wa siku nyingi. Ni kijana fighters sana kwenye maisha, amejijenga vizuri sana, kwa maana ya kuwa na mahali pa kuishi na kausafiri lakini hajaoa.! Ana mchumbaake ambae anaonyesha kampenda sana, kwa maelezo yake anadai hadi sasa wana kama miezi mitatu wakiwa kwenye uchumba.
Kijana analalamika kuwa, kipindi chote hicho cha miezi 3, hajapewa lile tunda la katikati! Kilichomstua kwa maelezo yake, binti anadai hawezi kumvulia nguo kwa muda huu mfupi sana walionao kwenye uchumba. Tatizo lipo kwenye huduma, kijana anadai anamhudumia binti kila kitu, pamoja na kumjali kwa kila kitu, lakini ili kumfanya awe salama zaidi, ameamua kuwa anampa mshahara wa laki mbili na nusu kila ikifika tar. 25 ya kila mwezi.
Binti anafanyakazi katika Duka moja la kuuza vipodozi hapa. Ndo amekuja kuniomba ushauri kama amvumilie au aachane nae kuepuka hizo gharama? Mimi nimemshauri kifupi sana, amwambie na yeye anasitisha huduma mpaka hapo watakapomaliza kuchunguzana na kukubaliana. Hakuna haki bila wajibu hapa Duniani. Lakini namuona kijana kama anaogopa kuchukua ushauri wangu.
Hebu nisaidieni cha kumshauri! Najua hapa hakiharibiki kitu
Nawasilisha
Mwambie huyo mvulana aache zinaa, huyo msichana yupo sahihi.
kukutana kimwili inaruhusiwa baada ya ndoa.
basi bana tabia nzuri na sura ninayo ila sijajazia nyuma...salary ndo nishakosa...mwambie kila la kheri na bi mdada....hahaaaa salary ileeeeKwa vile umeamua kujifungia boom kiunoni,weka nimpatie. Ila inabidi uwe na mvuto hasa,huyo bibie anayeliliwa si mchezo..! Kajaaliwa haswaaa!!!!