King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,342
- 88,521
Safi sana Nenda kk Kama ulivyoshauriwa.
Safi sana Nenda kk Kama ulivyoshauriwa.
Vigezo vikuu vya kupata ajira KK SECURITY ni kama ifuatavyo:
Other qualifications are added advantage: Driving, computer literate e.t.c
- Academici qualifications. Uwe na cheti cha elimu ya sekondari kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
- Uwezo mzuri wa kuzungumza lugha ya kiiingereza, ujue na law kidogo.
- Urefu wako uwe wa kutosha, kuna kipimo pale, hakuna longo longo wala rushwa katika hilo.
- Uje na barua mbili za wadhamini pamoja na ya kwako mwenyewe ya kuomba kazi
HQ ziko Dar ila ajira huweza tolewa Mwanza na Dar vile vile.
Safiri uende mpaka Dar es salaam, japo kuna usumbufu sana pale.
Basi sawa mkuu.usiongee usichokijua mm nliwah kufanya nao be4 sijapata kazi gvt. So nawajua effectively na hadi saivi nna mawasiliann nao....
mkuuu vp kama nina origino certificate fm 4 na fm 6,,, cheti cha kuzaliwa... cheti cha uraia , cha mpiga kura, hapo vp?
ahsnte sana ndugu...... lazima niende.... lakini vp mkuu hawawezi kuaccept kama hauna living? mfno una orgino fm 6 or fm 4.....result slip... cheti cha kuzaliwa, cha mpiga kura...cheti cha uraia ......
mkuuu vp kama nina origino certificate fm 4 na fm 6,,, cheti cha kuzaliwa... cheti cha uraia , cha mpiga kura, hapo vp?
Jaman na mimi nielekezen ukishuka walioba then unaelekea wap nikatafute hicho kibarua