Msaidieni rafiki yangu, maisha magumu

Msaidieni rafiki yangu, maisha magumu

sasa ndg yangu kama ana uzoefu mbn mtaj wa sh laki moja tu anaweza kuanza biashara ya chips uswahilini, kwa nn usimwezeshe?
 
mkuu kama ana living certificate...... c ajaribu kampuni flani ya ulinzi hapo dar inaitwa kk security ........
 
sasa ndg yangu kama ana uzoefu mbn mtaj wa sh laki moja tu anaweza kuanza biashara ya chips uswahilini, kwa nn usimwezeshe?

maisha ndgu yang 2naktana na marafk weng xan wana maixh magum xa 2kxema kila m2 2mwezexhe mtaj itakuw ngum ndo maan wengne 2nwataftia mxaada hmu jf.
 
Kwa Uandishi wa kipumbavu kama huu huwezi pata msaada kabisa, kwani ukiandika kama ulivofundishwa na mwalimu Wako nini kitatokea??, tumia akili
 
uandishi wa kipumbav ukoje na alioufundisha mwalim ukoje?
 
maisha ndgu yang 2naktana na marafk weng xan wana maixh magum xa 2kxema kila m2 2mwezexhe mtaj itakuw ngum ndo maan wengne 2nwataftia mxaada hmu jf.

Kwa uandishi wako utakuwa ni wewe mwenyewe mwenye shida.. kazi ya kulisha ng'ombe pekee ndo inakufaa. Uni-PM nikuelekeze kwa mzee shayo ana mifugo nje ya mji
 
pitia matangazo hapo juu ya kazi mbona naona kuna kazi nyingi tu , kama huyo wa kuuza vitabu na wengine
 
vijana waliotajwa hapo juu kwa lengo la kuuza vitabu kwa kuvitembeza malipo sh 80,000 kwa mwezi.kwa maelezo zaidi tuna meseji namba 0754 870 398 ,andika jina umri na mahali unapoishi tunapatikana Dar es Salama
VIGEZO:
-Awe mchangamfu
-Uwe na mdhamini 1,na awe mzazi au ndugu​

Anahitajika kijana wa kuuza chipsi, mwminifu, mzoefu na anayejua kuwakarimu wateja, napatikana kwa 0652651853
 
Kwa uandishi wako utakuwa ni wewe mwenyewe mwenye shida.. kazi ya kulisha ng'ombe pekee ndo inakufaa. Uni-PM nikuelekeze kwa mzee shayo ana mifugo nje ya mji

nisha ku-pm mkuu
 
vijana waliotajwa hapo juu kwa lengo la kuuza vitabu kwa kuvitembeza malipo sh 80,000 kwa mwezi.kwa maelezo zaidi tuna meseji namba 0754 870 398 ,andika jina umri na mahali unapoishi tunapatikana Dar es Salama
VIGEZO:
-Awe mchangamfu
-Uwe na mdhamini 1,na awe mzazi au ndugu​

jamaa yangu huyu kakosa kigezo cha mdhamini coz kaja dar hana ndugu,wazazi wake R.I.P sidhani kama atakubaliwa mkuu.!
 
Huna nafasi kwa maana unachumba kidogo hivyo hamtatosha au huwezi mpatia kazi.

mkuu mi ni mwanafunzi tu so sina sehemu ya kusema nitamweka rafiki yangu,huwa likizo tu ndo ninaenda kwa ndugu zangu kujitayarisha na kurudi home so sidhani kama itakuwa vema kuwapelekea ndugu zangu wakati mimi mwenyewe nasaidiwa tu kufikia kwao
 
achukue barua ya mtendaji aende tigo shekilango apewe lain auze miez mitatu tu atapanga chumba chake ni kitu cha kufanya maamuzi na sio kufikiri.
 
asante kwa ushauri mkuu hao tigo hawana vigezo vyovyote vya kumchagua mtu?
 
Back
Top Bottom