Ni kikao cha tatu sasa umoja katiba ya wanainchi vimeshindwa kufanyika baada ya Chadema kutoa udhru wa kutingwa na shughuli ndani ya chama, lakini wadau wa siasa wamebashiri ndio mwisho wa ukawa hii ni baada ya NCCR na CUF kupeleka vigezo vyao ambavyo inaonekana Kama kuitoa Chadema katika mbio za urais wa ukawa.