Recent content by Troublemaker

  1. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Muda wa kuwa huru duniani, ni mchache sana kuliko muda wa miangaiko

    Bila hiyo unayoita mihangaiko. Maisha yangepoteza maana. Kuishi ni pamoja na kuwa na muda wa kufurahia yale machache iliyofanikiwa kuyahangaikia na kuyapata. Hangaika ila pata nafasi ya kuishi. Tusisahau kuishi.
  2. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa namba 7 mpya wa timu ya taifa ya Portugal

    Kocha asingemuita kama aliona ahitajiki.
  3. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoweza kufanya Ukishinda Beti (Mkeka usilipwe)

    Ajabu ni kua hilo zengwe lote unaletewa baada ya kushinda tu. Hasa pesa nyingi hizi ndogo ndogo wala hutoona ukipata shida kutoa. Ukweli ni kua kumpuni zinataka na zimetengenezwa ww uliwe. Ukila mambo ndipo yanakua tofauti.
  4. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Hivi viumbe wa baharini huwa wanajiwasha kama wanyama?

    Au ana maana kama hapo kwenye avatar yako?
  5. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Hivi viumbe wa baharini huwa wanajiwasha kama wanyama?

    Swali halieleweki.
  6. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

    Sema habari zinaanzaga hivi hivi mara zinakua kweli.
  7. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania El-nino yaja... Be informed!

    Ilikujaga?
  8. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu wa kike anataka nimuoe, je tutakua tumefanya maamuzi sahihi?

    Ni vyema kuoa ama kuolewa na yule mtu unamfahamu. Me naona ni sawa kabisa..
  9. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Wall Moulding

    Sema n inatengeneza kelele kwenye nyumba. Nyumba inakua na vitu vingi sana.
  10. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Mheshiwa Lissu kajitetea vibaya kwenye kipengele cha heshima kubwa aliyonayo kimataifa

    Kuzui uchaguzi sio kosa.
  11. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Seriously, hivi Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani?

    Hapa shida ni sisi watanganyika na wajinga wenzetu walioko huko juu... Sijui hata wanasubir nini.
  12. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

    Yote hapo majibu. Pia ongeza ubinafsi na roho mbaya ni moja pia ya sababu. Ndio maana mzazi anashindwa kujenga nyumba halafu anazaa anataka watoto ndio wamjengee.. hatuna utaratibu wa kua na dira.
  13. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Kwanini walevi hawang’atwi na mbwa?

    Si mbwa tu wanyama wengi ni ngumu kushambulia mtu anayejiamini. Ukimface mnyama yeye mwenyewe anaogopa. Mbwa ukimpa mgongo ukamuhofia ndio anakushambulia kirahisi.
Back
Top Bottom