Meaning of Logo:
Grouped into twos
1.logotype.
A graphic representation or symbol of a company name, trademark, abbreviation, etc., often uniquely designed for ready recognition.
2.Logogram;
A written symbol representing an entire spoken word without expressing its pronunciation; for example...
Acheni faraja za kibwege,maandiko hamsomi,"mtu atamwacha babaye na mamaye ataambatana na mumewe/mkewe na watakuwa mwili mmoja na watakuwa mmoja" hapo hakuna dini,dhehebu wala Kabila au rangi,Kwani adamu na hawa walikuwa dini gani wale!!???
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ila nikweli,sometime we have to think in advance jamani,tufikirie kuwa na maboya maalumu ya kubatizia kwa wale tunaobatizia baharini au ziwani,sasa hao waliozama wame kwenda wapi, peponi au kuzimu??!' Manake wamezika utu wa zamani ila hawajaibuka tena ili kufufuka na Yesu!!!!....wasituzingue...
Enyi wana nyuzi... Msipende kukurupuka tu kujitokeza ovyo ovyo kwa wale wanaojifanya wanatafuta wachumba wa kiume...wengine ni WANAUME!!! Sasa wewe jichanganye ukaliwe jicho!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe mama nanii...sio unasema tu mcha Mungu mcha Mungu...umche Mungu Kwanza wewe...kisha muombe huyo huyo Mungu akupe mume mcha Mungu...na siyo kutafuta mume humu kwenye mitandao.....humu wote watakwambia wacha Mungu..unadhani kuna mtu anaeweza akasema yeye mcha shetani!!!!
Sent from my iPhone...
Kwanzaa nani anatabikra sasa hivi....ya nini....tabu ya nini kila siku uwe Unafanya kazni ya kutoa bikra then what!!!???
Sent from my iPhone using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.