msisahau diagrams, tables and graphs.
Inasemekana wanawake ni watu ambao maisha yao yamekuwa yakiendeshwa kwa emotion zaidi kuliko logic tofauti na walivyo wanaume.
Wadau nigependa tujadili jambo hili pamoja na kutoa mifano mbalimbali ya jinsi emotion inavyotawala maisha ya wanawake.
halaf hujanirudishia fofiga yangu.
Nilikua nikiiona fofiga madude yanapotea kumkichwaa
Nilikua nikiiona fofiga madude yanapotea kumkichwaa
Mie hata kuitumia nilikuwa sijui
halaf hujanirudishia fofiga yangu.
halaf hujanirudishia fofiga yangu.