Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,837
Mmmh kwanini umeamua kumwaga mboga hadharani? Na muhusika amesema kama unaona unakidhi vigezo uende PM mpaka hapo huna vigezo maana mcha mungu haweki siri zake hadharaniNpo mie we sema tu.Jina langu naitwa joseph mbaga.Nina elimu ya chuo mwaka wa tatu sasa hv.Nasomea tax ktk chuo cha usimamiz wa fedha(IFM).Na naishi dar-es-salaam ila nimepanga.Na kwa umri wangu nina miaka 26.Na kwa mawasiliano zaid namba zangu za cm hz 0689 049244 au 0654 115326